Wahusika wanaliona hili??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahusika wanaliona hili???

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by cashmoney, Jan 17, 2012.

 1. c

  cashmoney Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau, kuna hawa waganga wa tiba za jadi (wa kienyeji) ambao wengi wao wanatoa huduma zinazofanana siku hizi ( kuvuta mpenzi, kazi, mvuto nk) wamekuwa wanabandika matangazo yao katika mistimu (nguzo) za Tanesco na TCCL takribani yote na sehemu zote hadi kero hadi kwenye barabara kuu, je wahusika wanajua? hii ni halali kwa hawa wafanyabiashara?

  Nawasilisha.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  na mbaya zaidi sidhani kama wanalipa kodi ya matangazo!!!serikali inakamua wafanyakazi lkn wafanya biashara kama hawa hawalipi kodi hata kidogo!!!masikini serikali yangu!
   
Loading...