Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
- Thread starter
- #41
nikipita karibu na jengo la blue roho ina sisimka nilikopa milioni moja na nusu deni milioni 6 inaniuma sana lakini!we ngoja.
pole chief yaani sasa ukitaka kuona ngoma ya baypot ilivyo ngoja umalize hilo deni kama hutoendelea kukatwa nyoosha mikono juu mshukuru muumba