Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,664
Ingia Facebook kwenye page yao wa pm mkuuSio ww peke yako kaka kuhusu huu msiba wa kuibiwa vocha. Mm ck hiz nimeacha kabisa kuweka vocha halafu ikae tu kwny cm nikiweka hapo hapo najiunga yote ukiacha tu kidogo imekula kwako tgo wanaboa Sana. Na unakuta mtu hujajiunga na huduma yoyote ile ya kijinga kijinga naamaanisha coller tune
Hata utaandika bila mafanikio yoyote...au njoo inbox nikupe namba yao ya kawaida ukiacha ile ya 100