MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Hakuna lolote!hakuna panya road wala nini,propaganda zinaendeshwa na mafisadi kututoa nje ya mada ili tusahau ya escrow
Wewe Una kichwa cha panzi, yaani kila likitokea jambo jipya unasahau maswala muhimu yaliyotangulia hâta Kama hujayafanyia kazi!! Buree kabisa wewe! Panya road wanashughulikiwa, tunaendelea na Escrow, tunapambana na katiba ya Chenge, haipiti! halafu tunafuatilia kashfa ya gesi, kijana usiwe na kichwa cha njia moja, maisha yatakupiga chenga, You must learn to multitask!! Mpaka kieleweke