Wahuni wa ghana waingia mtaani

Wahuni wa ghana waingia mtaani

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
Baada ya taarifa kuzagaa kuwa kikundi cha watu wachache chenye silaha za jadi maarufu kama panya road kufanya fujo baadhi ya mitaa ya dar es salaam kwa kupora vitu vya raia...vijana wa buguruni ghana maarufu kama wahuni wa ghana,wamejipanga na kuji organize kuweza kupambana na hawa panyaroad,wanasema kama polisi wameshindwa basi wao wapo tayari kupambanao nao.
 
Eh...vita sasa, basi kova akabidhi madaraka kwa hao wahuni wa Ghana....
 
Kwan,panya road polic wameshndwa kuwadhibiti. Wanalipwa mishahara ya nn ?

Kuwepo vikundi hivyo ni kuongeza machafuko.
 
Hakuna lolote!hakuna panya road wala nini,propaganda zinaendeshwa na mafisadi kututoa nje ya mada ili tusahau ya escrow

baki huko mkoani tulio dsm tunajua kwamba na jana wamehatarisha sana amani hapa jiji karibia mitaa yote ya kinondoni. sasa wewe toka hapa na siasa zako za kijinga
 
Hakuna cha panya wala paka ni unafiki tu wa watu
 
Hakuna lolote!hakuna panya road wala nini,propaganda zinaendeshwa na mafisadi kututoa nje ya mada ili tusahau ya escrow

Siku ukikutana nao face to face halafu dogo wa miaka 17 akakumwaga utumbo tafadhali uje pia hapa kutupatia mrejesho kama huu.
 
E jay mimi siko mkoani,mimi niko Dar na mzaliwa wa Dar,maisha ya wakazi wa Dar wengi wanaishi kwa viherehere,tukio linaweza kutokea Kimara mtu wa Mbagala anajiharishia.

Nikipata picha ntakuwekea uone kazi wanazozifanya wakiwa site na kama ukiwahitaji kuna contacts zao mkuu
 
Mkuu Rweye hakuna lolote,hayo makundi ya hao watoto mbona Dar yako mengi tu?kulikuwa kuna bad face maeneo ya Kigogo unawajua?
 
Eh...vita sasa, basi kova akabidhi madaraka kwa hao wahuni wa Ghana....

mida ya saa 3 nilikuwa kwa wauza mbao hapo karibu na kimboka nimeshuhudia vikao vidogovidogo vikuendelea.
 
MO11 matusi ya nini?ukitukana unafikiri ndio utaonekana mjanja JF?huo u.fa.la.Kama wewe unawafagilia hao panya kimpango wako.Acha dharau kwa usiye mjua.Ku.m.a.ma.ko.
 
MO11 matusi ya nini?ukitukana unafikiri ndio utaonekana mjanja JF?huo u.fa.la.Kama wewe unawafagilia hao panya kimpango wako.Acha dharau kwa usiye mjua.Ku.m.a.ma.ko.

Mkuu mbona umeanza vizuri lakni mwisho umemalizia vibaya?.
 
Back
Top Bottom