'WAHUNI' WA BENGHARZ wakiwa kwenye maandalizi ya "uhuni"

wanashibe hao,,,,,,,,,,,kushiba napo tabu kwelikweli unatafuta kashuguli kokote ili upunguze shibe
 
Minadhani ulitakiwa uhoji zaidi ya hapo ulipoishia(angalia rangi nyekundu), yaani uhoji je katika miaka hiyo 42 ya kukaa madarakani kawafanyia nini raia wa Libya na Afrika kwa ujumla. Ukijishughulisha na ukapata majibu sahihi ya hicho nilichokueleza hapo juu, ninahakika utapata sababu za msingi kwa nini nawaita"WAHUNI".
We mtu wa kariakoo tu hata Dar yenyewe bado haujaifaham yote unaanza kujifanya unaujua uzuri wa muhuni Gadafi kuliko wanavyomfahamu hao waLibya waloamua kumuondoa dikteta huyu!!! Ucha unafiki bana..
 
We mtu wa kariakoo tu hata Dar yenyewe bado haujaifaham yote unaanza kujifanya unaujua uzuri wa muhuni Gadafi kuliko wanavyomfahamu hao waLibya waloamua kumuondoa dikteta huyu!!! Ucha unafiki bana..

Magarinza "mliganyo" huu unaufahamu? hoja ya nguvu < Nguvu ya Hoja . <nguvu ya="" hoja.="" <="" strong=""></nguvu>Teh-Teh-Teh-heeee !!!!
 
cheki na hii waliomchora babu qaddafih
2011-08-22T103257Z_01_NOOTR_RTRMDNP_2_India-588932-4-pic0.jpg
 
Back
Top Bottom