Mkuu, kesi za jinai ni ngumu sana. Upande wa Mashtaka unapaswa kuthibitisha pasipo kuacha shaka yoyote. Hilo si jambo dogoMkuu. Hata rangi ya nguo tu yaweza kumweka mtu huru. Hatahivyo, wapo washtakiwa ambao kila iitwayo leo hukutwa na hatia na kuhukumiwa. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka inafanya kazi kubwa na ngumu.