Mkuu na je gharama za usumbufu Mahakama huwa inamlimpa aliyesumbuliwa??Mkuu, kesi za jinai ni ngumu sana. Upande wa Mashtaka unapaswa kuthibitisha pasipo kuacha shaka yoyote. Hilo si jambo dogoMkuu. Hata rangi ya nguo tu yaweza kumweka mtu huru. Hatahivyo, wapo washtakiwa ambao kila iitwayo leo hukutwa na hatia na kuhukumiwa. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka inafanya kazi kubwa na ngumu.
Mahakama haiulipi upande wowote wa kesi. Kama ni malipo huamriwa na mahakama au kusakwa mahakama nyingine kwa shauri linalojitegemea lakini linalotokana na lililohukumiwa.Mkuu na je gharama za usumbufu Mahakama huwa inamlimpa aliyesumbuliwa??
anhaa hapo nimekuelewa mkuu..shukraniMahakama haiulipi upande wowote wa kesi. Kama ni malipo huamriwa na mahakama au kusakwa mahakama nyingine kwa shauri linalojitegemea lakini linalotokana na lililohukumiwa.