mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
Jamani mnataka wakale wapi cku hiyo na mshaleta gundu?hakuna cha Tip,kununuliwa kinywaji wala msosi!
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
Kwa nini wasidiche hasira hiyo moyon hasi wanaionesha nje na kutia doa mtu ambaye amewekeza ma million kwenye biashara yake.
Huyo mwanamume wako unayekuwaga naye bar pengine anawagegeda, sasa wewe ukuja naye unaonekana mvamizi..........Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
kwa kuwa wanakosa soko hapo
Hata miye meona! Na ukiwa wa kike mwenyewe kama hawakuoni! Haswaa wa uswazi!
Nawashangaaga sana. Na kukuvutia mdomo.lol
mmmh weweHuyo mwanamume wako unayekuwaga naye bar pengine anawagegeda, sasa wewe ukuja naye unaonekana mvamizi..........
Nini sasa miss chagga...???? Sasa kwani wanaanzeje tu kumchukia...?? Na usikute uwepo wake viofa anavizuia au maswali kibao.... wanammaindije,...!!!mmmh wewe
napata wasi wasi we mnunuzi ndo katabia kako wewe ndo maana umejua mengi... endelea kufungukaNini sasa miss chagga...???? Sasa kwani wanaanzeje tu kumchukia...?? Na usikute uwepo wake viofa anavizuia au maswali kibao.... wanammaindije,...!!!