Mgahawa uliyopo kinondoni Dar es salaam unatangaza nafasi za wahudumu.
VIGEZO
★Awe MSICHANA
★umri 18 -27
★Mkazi wa Dar es salaam
★Mchapakazi na mvumilivu
★Elimu kidato cha nne na kuendelea
Mshahara mzuri. Hududuma ya chakula cha asubuhi na mchana zinapatkana hapo hapo. Muda wa kazi ni kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa mbili usiku
Maombi yote yatumwe kwenye Email hapo chini.
Jobsfacilitators@gmail.com