mmekutravella
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 100
- 33
Mount Kilimanjaro bar ya Nyegezi stand Mwanza inatangaza nafasi 10 za wahudumu wa bar.Nafasi hizo ni maalumu kwaajili ya wadada tu..umri ni kuanzia miaka 18 hadi 28..kwa watakaokuwa interested tafadhali piga simu no 0767350415 au tuma email fmsafiri@gmail.com au njoo moja kwa moja ofisini kwetu Mount Kilimanjaro Nyegezi stand