Wahudumu wa afya marufuku kutumia simu kazini Rwanda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wahudumu wa afya nchini Rwanda wameonywa kutokuingia tena kazini na simu za mkononi kuanzia tarehe mosi mwezi Machi.

Waziri wa Afya Dkt Diane Gashumba amesema kuwa hatua hiyo inalenga kuinua huduma kwa wagonjwa kutokana na utafiti kuonesha kuweko kwa huduma duni kunakosababishwa na matumizi ya simu binafsi kazini.
 
hiyo imekaa vyema hata mm hiyo sheria nilisha jiwekea.
niliona ufanisi Wangu mkubwa nikiwa kazini ulikuwa unachukuliwa na simu.
 
Back
Top Bottom