Wahudumu mgahawani na bar

Wahudumu mgahawani na bar

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
215
Reaction score
59
upcountry Kitchen taste iliyopo Kibosho -mweka kilimanjaro inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia vinywaji na chakula ( service).

Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro au walio tayari kuishi Kilimanjaro.

Maombi yote yatumwe WhatsApp kupitia namba ya simu 0752808396, kwa kutuma ujumbe unaoelezea wasifu wa muombaji pamoja na picha full.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom