Wahouth huko Yemen wanachapika ipasavyo!!

Wengine wanadai eti wakristo Israel wanatemewa mate uongo mtupu unaowneza chuki tu
 
Sasa mbona wanaouliwa ni raia sio Al houth Tena wako kiwandani wanajitaftia rizk, tunachotaka kuona ni wamarekani ,waisrael british na saudia wakiingia kuwasaka hao waharifu ili wawangamize ila hicho kinachofanyika kamwe hawataweza kuharibu uwezo wa Al Houth ata Kwa asilimia 2 TU
Sasa kama wahouthi Wanavaa kiraia utajuaje huyu ni raia na huyu ni houthi
 
Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku

Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha.

Moja ya shambulizi mashuhuri lilikuwa kwenye "Kiwanda cha Keramik cha Al-Suwari" katika Wilaya ya Bani Matar, magharibi mwa Sanaa, ambapo, kulingana na Wizara ya Afya ya Yemen, watu 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa.
Vyanzo vya Saudi viliripoti kuwa eneo kwa hakika ilikuwa kituo cha kutengeneza silaha kilichojificha kama kiwanda cha kutengeneza nguo (tazama video iliyoambatishwa).

Mbali na eneo hilo, malengo mengine nchini Yemen yalipigwa usiku mmoja:

  • shambulizi kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanaa na Kituo cha Ndege cha Dailami
  • Mashambulio 3 katika Wilaya ya Bani Hashish, mashariki mwa Sanaa
  • Shambulizi kwenye Kambi ya Maas kaskazini mwa Mkoa wa Marib
  • Shambulizi kwenye kambi za kijeshi katika Mkoa wa Al-Jawf

Wahouthi, kwa upande wao wameendelea na uongo wao kuwa walifanikiwa kuangusha ndege nyingine isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani jana usiku kitu ambacho ni uongo!!
wahouthi watageuzwa kama gaza
 
Muongo mkubwa wewe mimi Niko huku sasa hivi Ben-Gulion anafanya kazi usiku na mchana baada ya Pasaka wiki ijayo tunarudi nyumbani na tunarudi kutumia uwanja wa ndege wa Ben-Gulion. Hakuna kitu kilichosimama hapa. Magaidi wa Hamas/Houth wanapigwa kama kawaida!!
Gharama ni bei gan rafiki yangu
 
Muongo mkubwa wewe mimi Niko huku sasa hivi Ben-Gulion anafanya kazi usiku na mchana baada ya Pasaka wiki ijayo tunarudi nyumbani na tunarudi kutumia uwanja wa ndege wa Ben-Gulion. Hakuna kitu kilichosimama hapa. Magaidi wa Hamas/Houth wanapigwa kama kawaida!!
Anhaa kwa hio Jerusalem ndoo Tela Aviv sio hivi dogo akili zako hata mtoto wa miaka 5 anafahamu wazi Jerusalem sio Tela Aviv
 
Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku

Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha.

Moja ya shambulizi mashuhuri lilikuwa kwenye "Kiwanda cha Keramik cha Al-Suwari" katika Wilaya ya Bani Matar, magharibi mwa Sanaa, ambapo, kulingana na Wizara ya Afya ya Yemen, watu 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa.
Vyanzo vya Saudi viliripoti kuwa eneo kwa hakika ilikuwa kituo cha kutengeneza silaha kilichojificha kama kiwanda cha kutengeneza nguo (tazama video iliyoambatishwa).

Mbali na eneo hilo, malengo mengine nchini Yemen yalipigwa usiku mmoja:

  • shambulizi kwenye eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanaa na Kituo cha Ndege cha Dailami
  • Mashambulio 3 katika Wilaya ya Bani Hashish, mashariki mwa Sanaa
  • Shambulizi kwenye Kambi ya Maas kaskazini mwa Mkoa wa Marib
  • Shambulizi kwenye kambi za kijeshi katika Mkoa wa Al-Jawf

Wahouthi, kwa upande wao wameendelea na uongo wao kuwa walifanikiwa kuangusha ndege nyingine isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani jana usiku kitu ambacho ni uongo!!
kama Nawaona wanavogombania Mabikira huko ahera.. maana wanapelekwa ahera kwa makundi makundi.
 
Habari unayo Çhina wammefuta Kodi zote Kwa wayemen za ushuru wa bandari hivyo wayemen nikuagiza TU na kupokea Kisa kazi nzuri walioifanya ya kuzuia wamarekani na waingereza huku Çhina akipeta
 
Kwa hiyo china muhusika wa waouth kusaidia meli kushambulia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom