Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

Kwani uliamini?
Hizi ni drama Za Jf
Muendelezo wa madam headmistress

concetration yangu ilikuwa kwenye dharau ila kufikiri uwezo wa barabara nikihusisha na uzito wa machine hiyo sikufikiri...hivyo nilichukulia ni kweli...lakini niliposoma swali lako ...akili ikanikaa sawa...
 
Anaonekana atakuwa gumegume huyu dada ..hadi kuendesha lile dude sio mchezo mkuu ..lazima ujichetue kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_20180825_215928_672.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayejua short list kwa wale wanafunzi waliofanya online application kwa Mwaka 2018/2019 intake kwa awamu ya kwanza iliyoisha15 august ,bachelor je majina wataanza kutoa lini kwa ajili ya Ku confirm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemuambia asupport nyodo zake na Salary Slip basi
We boya tu ulishindwa kujidefend sarcastically so techically, She Won the Accost!

Ila naomba kuuliza izo heavy machine ya 90t inapitaje barabarani maana si wanasema mizani ukizidisha uzito zaid ya 50 ni noma?

Imagine unataka ulisafirishe ilo crane mikoani how do u do that? Au mnalidisassemble?

Sent using Jamii Forums mobile app



Kawaida hamna mzigo wa tone 90 Unaoweza kupitishwa kwenye barabara zetu ukiwa pamoja, ila mizigo mingi hasa mitambo mikubwa ya viwandani na migodini huwa baada ya kuingia inafunguliwa na kutenganishwa vipande vipande ndio inasafirishwa ila inapofika site eneo la kufungwa ni lazima itumike crane kubwa ili kuubeba mtambo kwa wakati mmoja na kuuweka sehemu inayotakiwa kufungwa, unaweza ukakuta mtambo una kg hadi 80,000 (80tones) ni lazina crane itumike kuubeba
crane_liebherr_715.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida hamna mzigo wa tone 90 Unaoweza kupitishwa kwenye barabara zetu ukiwa pamoja, ila mizigo mingi hasa mitambo mikubwa ya viwandani na migodini huwa baada ya kuingia inafunguliwa na kutenganishwa vipande vipande ndio inasafirishwa ila inapofika site eneo la kufungwa ni lazima itumike crane kubwa ili kuubeba mtambo kwa wakati mmoja na kuuweka sehemu inayotakiwa kufungwa, unaweza ukakuta mtambo una kg hadi 80,000 (80tones) ni lazina crane itumike kuubebaView attachment 846930

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifeli shule au maisha?
Maana at the end kinachomatter ni maisha baada ya shule, faggot!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi niambia kuwa nilifeli direct nilichofeli ni kwenda Advance level tu direct cz nilipata dv 4 ya 27, kama ningeamua kwenda chuo chochote ningeenda kuanza na certificate then diploma na ningeweza kuingia chuo chochote kusomea bachelor kama ningetaka so huo msemo wa kusema kuwa nilikuwa na ndoto za kufika udsm ila zikafeli si kweli,

Cha muhim maisha ni mipango na malengo, mimi pesa ya kupelekwa chuo chochote ilikuwepo home na nikakataa kwenda certificate nikaamua mwenyewe kusomea heavy machines na matunda yake nayaona sasa, hata uje na bachelor zenu jipangeni wanne ndio mkute mshahara wangu

Na mwakani nipo kwenye proces za kumiliki forklift zangu mbili za tani 3 kama biashara yangu binafsi ambazo ntakuwa nazikodisha na kulipwa kwa masaa ambayo zinafanya kazi, so hapo ntaajiri wadereva wawili na kipato changu kitaongezeka mara mbili zaidi InshaAllah !



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada kwanza mimi nikupongeze tu kwa ujuzi ulionao mpaka kufikia hatua ya kuaminiwa na kupewa lidude kama hilo nnaloliona kwenye picha kuli operate.

Pili huyo graduate wa UDSM fanya kumdharau tu, kwani hadi sasa hivi hakuzidi chochote. Kwa elimu uliyonayo japo ni diploma lakini ni zaidi ya bachelor ya UDSM au chuo kingine chochote hapa bongo, wewe umesoma south africa nchi ambayo ina mfumo bora kabisa wa elimu barani afrika wakati huo huyo shoga yako yeye elimu yake ni ya mfumo wetu mbovu huu wa kukariri na sio kujua hivyo hata elimu yake itakuwa ni mbovu sana kulinganisha na yako!

Nawajua vizuri sana graduates wa UDSM na majivuno yao ya kishamba, huwa hawaniumizi kabisa kichwa, wakishaanzaga tambo zao naishiaga kuwadharau tu huku nikiwaambia ka tofauti yangu na wao ni madarasa tu na reg numbers lakini hakuna chochote special walichanocho as long as wamepitia kwenye huu huu mfumo uliotuletea akina Magufuli.

Hongera kwa kukunja 3.5m maana kuna watu wana masters za UDSM na hawafiki na hata nusu ya hiyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
DADA KAONGELEA DHARAU ZA WAHITIMU WA UDSM, SASA KAMA HIKI ULICHOKIWEKA HAPA NDIO SABABU YA KUWAFANYA WAHITIMU WA UDSM MUWE NA DHARAU BASI NAKUPA POLEEEEEEE KUBWA SANA, BINAFSI HUWA NAWAITAGA VIAZI SASA NAONA SABABU ZA KUWAITA VIAZI ZINAONGEZEKA.
Mwambie maana hajaelewa kilichoandikwa hamna mahali nliposema udsm sio chuo kizuri mimi nimesema kuwa baadhi ya wahitimu wake wana dharau sana huku mitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi niambia kuwa nilifeli direct nilichofeli ni kwenda Advance level tu direct cz nilipata dv 4 ya 27, kama ningeamua kwenda chuo chochote ningeenda kuanza na certificate then diploma na ningeweza kuingia chuo chochote kusomea bachelor kama ningetaka so huo msemo wa kusema kuwa nilikuwa na ndoto za kufika udsm ila zikafeli si kweli,

Cha muhim maisha ni mipango na malengo, mimi pesa ya kupelekwa chuo chochote ilikuwepo home na nikakataa kwenda certificate nikaamua mwenyewe kusomea heavy machines na matunda yake nayaona sasa, hata uje na bachelor zenu jipangeni wanne ndio mkute mshahara wangu

Na mwakani nipo kwenye proces za kumiliki forklift zangu mbili za tani 3 kama biashara yangu binafsi ambazo ntakuwa nazikodisha na kulipwa kwa masaa ambayo zinafanya kazi, so hapo ntaajiri wadereva wawili na kipato changu kitaongezeka mara mbili zaidi InshaAllah !



Sent using Jamii Forums mobile app
Matunda ya shule huwa yanaonekana, hahahahahahahaha inferiority complex inakusumbua mkuu... Kukaa kimya ni jibu la mwerevu. Ukiona mtu anajielezea sana na malengo yake publicly especially social media basi elimu hana na mafanikio pia hana so anatafuta usawa na heshima kinguvu.... Pole sana aiseeeeeee nazidi kuelewa kwanini ulidharaulika na utaendelea kudharaulika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom