The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,253
- 2,168
Kuna jamaa namjua amesoma shule za kata,hakuwahi kumuona mwalimu physics toka form 1 hadi form 4,hakuwahi kwenda tuition,ila kwa sasa ana masters anafundisha chuo kikuu,kichwani yuko njema unaweza kujua amesoma hizi za vipaji.Huu ni wivu kwa vipanga... Kwani waliosoma kata adi saiv wamevumbua nini zaidi ya ule uzi wa kula tunda kimasihara..?
Sawa, sio shule ya vipaji maalum lakini.Shule yangu ya Pugu secondary imechangia maendeleo ya nchi kama ifuatavyo:
1. Imetoa rais mkapa wa awamu ya tatu, ambaye alifanikiwa kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kimfumo
2. Imetoa waziri Pinda
3.Imetoa spika wa bunge la JMT MH. Pius Msekwa
4. Kwa awamu hii, imetoa waziri wa maji, mh.Uwesu, anapiga kazi sana
5.Pugu sekondari ipo jimbo la ukonga, hivyo hata mbunge wa sasa Mh.Slaa ametokana na shule ya Pugu
Inaendelea..........
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Unaweza kukariri pure mathematics? Mechanics? Embu kuwa serious kidogo and show appreciation when it's due.Kuna jamaa namjua amesoma shule za kata,hakuwahi kumuona mwalimu physics toka form 1 hadi form 4,hakuwahi kwenda tuition,ila kwa sasa ana masters anafundisha chuo kikuu,kichwani yuko njema unaweza kujua amesoma hizi za vipaji.
Naamini wale jamaa wanaoitwa vipaji maalumu hawana chochote zaidi ya kukariri,watuambie wana vipaji gani hapa?,
Mkuu kama wameelewa kwa ajili ya kufanyia kazi maishani wapi niende nikawaone?,unadhani tofauti na kukariri wakajibu mtihani wapate As wanonekane wana akili hao jamaa wana nini cha ziada?Unaweza kukariri pure mathematics? Mechanics? Embu kuwa serious kidogo and show appreciation when it's due.
Nakuona Division 0Zilikuwa sifa za kijinga tuuu. , Unaona kuwa unasoma ilboru , weru weru eti ya vipanga kumbe sifa tuuu za ******* ,
kama hivi hiv vyuoni tumekutana , supplementary kama zote tumezipata ...now ni jobless era....
Hence. Sifa za kijinga tuu. Tofauti ilikuwa ni Serikali kuwekeza resources nyingi kwenye hizo shule...............na kuwekeza kiduchu shule hizu tulizosomaaa.....
Nipo hapa na A's zangu kwenye vyeti sina hata bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilboru Alumni wenzangu sijui wako wapi.
kwa kukariri nadharia zilizo kwenye makaratasi ? jibu ni hapanakatika kujenga taifa
Kweli,ila ukweli huu utakataliwa na wengi.HEBU TUWEKE REKODI VIZURI,HAKUNA SHULE ZA VIPAJI MAALUM NCHI HII ILA KUNA SHULE ZA UFAULU WA JUU.
UNAPOZUNGUMZIA SHULE YA VIPAJI MAALUM HICHO NI KITU KINGINE KQBISA,KUMBUKA UFAULU WA JUU SIYO VIPAJI MAALUM SABABU MTU ANAWEZA KUWA ANA UFAULU WA JUU ILA HANA KIPAO MAALUM
hakuna cha shule ya vipaji maalum nikuwavimbisha tu vichwa wazaziWadau, kuna shule ambazo serikali kwa utashi wake ilizitambua na kupeleka wanafunzi ambao inaamini ni vipaji maalum kiakili, mfano, Ilboru, Tabora school(boys and girls), Kibaha, Mzumbe, Kilakala na Msalato.
Lengo lilikuwa kuwatumia watu hawa katika kujenga taifa, je, wanaomaliza/waliomaliza shule hizi wanatambulikaje katika jamii? Wanathaminiwaje? Wapo wapi?
HEBU TUWEKE REKODI VIZURI,HAKUNA SHULE ZA VIPAJI MAALUM NCHI HII ILA KUNA SHULE ZA UFAULU WA JUU.
UNAPOZUNGUMZIA SHULE YA VIPAJI MAALUM HICHO NI KITU KINGINE KQBISA,KUMBUKA UFAULU WA JUU SIYO VIPAJI MAALUM SABABU MTU ANAWEZA KUWA ANA UFAULU WA JUU ILA HANA KIPAO MAALUM
Si kweli, zipo na wana uwezo kweli, swali la kujiuliza ni mfumo unawapeleka wapi?Kweli,ila ukweli huu utakataliwa na wengi.
Mkuu haya mambo ni changamoto,tuishie hapa tu,maana hatujuani.Si kweli, zipo na wana uwezo kweli, swali la kujiuliza ni mfumo unawapeleka wapi?
Daah! Wewe jamaa πππTumezungukwa na vilaza wengi ambao wao kazi yao ni kupenda pesa bila kujali output na outcome .
Hujanibambia bana π€£π€£,mie nimesoma na Joshua nasari alokuwa mbunge wa meru,tulikuwa intake moja,yeye akiwa boys mie girlsKumbe wewe Ni mwoso. Haya bana usikute nilishakubambia kwenye disco Basi humu mtandaoni hatufahamiani. Berlin Wall ,umemaliza mwaka gani
Acha makasirikokumbe sifa tuuu za *******
Kitei kilinifanya nijotolee kugawa misosi jioni [emoji28][emoji28][emoji28], full minyama kujipakuliaTupo mtaani bab. Mwana Ilboru mwenzangu. Sema nimekumbuka neno KITEI[emoji23][emoji23]