Wahindi wanatuharibia nchi

Kweli mkuu. Huwa nashangaa sana nikimsikia mhindi wa Zenji na wa bongo. Katika kuongea ni tofauti kabisa. Wa huku wanajifanya hawajui kiswahili fasaha japo mijitu imezaliwa Hindumandal na kwingine. Pale ambapo unabagua utamaduni wa mtu ni wazi hutatoa vipaumbele kwa sehemu zingine za tamaduni husika. Ila sasa watanyooka tu, na kiswahili fasaha wataongea.
 
Mpendwa acha watu wachape kazi ..SIASA na wakati wa porojo ulishapitwa.. ULIMWENGU wa maneno haushibishi matumbo !! "Tanzania mpya inakuja kwa kuchapa kazi"!!

Zamulini;
Weye nawe ni hao hao au ni msifia mvua?? Sikiliza kaka; mhindi ni mhindi tu. Hata kule kwao, hapikiki. Nenda uendako, yeyote aliyewahi kutana na suluba za kihindi analia kilio cha mbwa.
Hawafai, hakuna wezi na wakwepa kodi ka hao. Serekali inajua hilo ila weshawekwa mfukoni. Tofauti yao na mchina ni kuwa, mchina bahili mhindi ajua kujilinda. Hakuna mhindi asiye na ngao yaani polisi mkubwa flan, na hata IGP analijua hilo kwani alipitia huko huko. Hakuna mkuu wa mkoa asiyesalimiwa na mhindi. Kwa kifupi wahindi wamejilinda ndo maana wanafanya hayo wayafanyayo.
 
Umesema kweli. Siku moja nilikuwa nimeenda kununua kifaa/mashine fulani kwenye duka moja kubwa sana la wahindi la vifaa vya steshsnari. Ile mashine ilikuwa mbovu nikawarudishia wakaanza kunizungusha. Nikaenda kituo cha polisi cha jirani kushitaki. Wale polisi walikuwa reluctant ila wakaniandikia ujumbe kumpelekea huyo mhindi. Nikapeleka na mhindi akaisoma akasema hawezi kwenda, polisi ndio wamfuate. Nilipowaambia polisi wakasema hawana cha kufanya. Wakaniambia mambo ambayo kiukweli si mazuri. Askari wetu wanahitaji kuwezeshwa kimaslahi na kimaadili ili kuweza kuepuka hila za hawa jamaa. Bahati nzuri nilifanikiwa kurudishiwa hela yangu maana ningewasumbua tu
 

Kama hukuiombea hiyo hela, itakufilisi kabisaaaaaaa. wahindi wajinga sana. Miye zangu zilirudi ila zilikuwa zinanukia ubani utadhani zilitengenezwa kwa ubani. Nilikomaa nao mpaka kutishiana maisha
 
Uliuliza masuali kadhaa nikakujibu yote kwa ufasaha !!! Sasa...
 
Jua ni kali na lina joto sana.... sasa kama huna mwamvuli au kiyeyezo "hiyo siyo tatizo langu" wee endelea kulalama, kulialia na kusingizia wengine!!
 
umenijibu kwa ufasaha au umejikanyaga...Mtz anayependa nchi yake hawezi mpenda muhindi...labda muhindi aliyezaliwa na mtanzania...ambaye anahisi tanzania ni nchi yake sio wale waliokuja kuchuma wanaoona watz ni manyani...
Ok ..Ok miye nakupenda wewe kwanza !!basi acha kupandisha ndg.
 
Ahsante Katavi.... na tukimliza wachina , tujlaumu sisi na baadae tumlaumu aliyeumba hii dunia !!
jamshidamri
mangatara Tibbia ya waBongo wengi mnapenda kujumisha na kujulisha ubaya kwa mtu kwa jamii yote !!
tuendelee kulauuuumu tu !!

we mbona hueleweki...kwani aliyeumba dunia aliwaumba wachina na waindi waje tanzania kutunyonya...?kwanza muindi anaamini mungu...au anaamini masanamu...mbona unajikanyaga....ww km ni muhindi mzigua au mmanyena relax...jiunge na sisi wamakonde tuondoe hii mijamaa mibaguzi....sioni unachotetea juzi tuu wametoka kuwaua wanafunzi wa TZ huko india...bado unasema kuhusu mungu kwa hawa wanyama
 
Kama hukuiombea hiyo hela, itakufilisi kabisaaaaaaa. wahindi wajinga sana. Miye zangu zilirudi ila zilikuwa zinanukia ubani utadhani zilitengenezwa kwa ubani. Nilikomaa nao mpaka kutishiana maisha
Duh! Hatari. Wepesi kupokea wagumu kutoa. Tutakomaa nao tu
 
Tukimaliza kuwalaumu wahindi tutahamia kwa wachina
Tena wachina nao ni balaa. Soon tusipokuwa makini tembo wetu watakuwa historia. Wachina wabaya zaidi. Wanaishi hadi uswazi, wanakomba kila kitu. Juzi kati kama si serikali kuingilia kati huko Manyara punda wangeisha. Mbwa wetu nao wako mashakani, achilia mbali uchumi wetu. Mchina noma!
 
Yaan kabla sijamaliza kusoma hii thread yako nakuunga mkono hawa jaamaa wanatunyonya na kututesa saana
 
Mbona nyie huko kwenu ni maskini sana, mna kila aina ya shida, yaani hata mkiwa hapa mnabaguana wenyewe kwa wenyewe??
BTW, Africa is still young, like a growing baby, mtatuelewa tu siku moja.
 
Ahsante Katavi.... na tukimliza wachina , tujlaumu sisi na baadae tumlaumu aliyeumba hii dunia !!
jamshidamri
mangatara Tibbia ya waBongo wengi mnapenda kujumisha na kujulisha ubaya kwa mtu kwa jamii yote !!
tuendelee kulauuuumu tu !!

Zamiluni
Naamini kuwa weye ni mmoja wa hao wahindi au una sehemu kwao. Hatusemi watu kwa sababu mbaya. Sipendi siasa kwenye mambo real. Mhindi yeyote, ana mlinzi wake huko juu na haswa polisi. Tunapoandika humu tunajua kuwa wapo polisi wanayapitia haya. Hatubahatishi bali tunakuambia.
 
Huwa siamini kama bado kuna mtz atamtetea mhindi,
Haijawahi tokea mhindi ajenge nyumba bongo ama afungue account kwenye bank zetu hizi, faida yote anarudisha India, unyonyaji kwa kwenda mbele..
I have been working with them for years, and I know them much better,
Na mnaosema sijui bila wahindi mambo yangekuwaje, wacheni kufikiria kama kuku..
Hakuna aliyezaliwa asaidiwe na mwenzie,
Let them go uone kama kuna atakaekufa njaa.
Mbona wakoloni waliondoka na mambo yakasonga kama kawaida, iwe hawa nguchiro?
Hawaamini Mungu, wanahonga kila idara serikalini,
Time will tell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…