Wahindi wanatuharibia nchi

Pengine tatizo ni uongozi wetu. Hadi ifike miaka 8 ya uongozi wa huyu Rais wa sasa sidhani kama utawafikiria wahindi kama unavyowafikiria sasa
 
JAMSHID !!
Kwa kuwa ulianza na UBAGUZI !! mie siwezi kukuuliza.... nataka ujaji kwa macho yako na mtazamo wa kimaendeleo !!


mi nakubali nimeanza kibaguzi na ni mbaguzi sio kwa wahindi wa kitanzania....mi naongelea those who have nothing to do with tanzania...pia usitutishe kuwa nchi bila wahindi haiwezekani kuendelea...wahindi kwani ndo wakina nani...nchi zote zilizoendelea zinaitaji wahindi....?tz tuu ndo wamepewa AIRTIME...wakajiona mungu watu...
 
mkuu bora umemwambia, wao kila kitu ni chuki tu
Abdul !! wajuwa CHUKI ni kitu kibaya sana kwa maisha ya mwanaAdam... "Mtu unapo litazama
jambo kwa CHUKI" hapo macho na Busara hutoweka na hutoweza ona kitu wala hutoweza amuwa jambo lolote!! Sasa ndo hayo wanabubujika povu!!
 
OMG !! Jamshid una miaka mingapi ?!!? nakuuliza hivyo kwa kuwa UPEO WAKO unaishi kibaha au mlandizi !!! Mdogo wangu naomba ufungue vitabu usome na ujizoeshe KUJIULIZA kipi kina faida na kipi kina hasara !!! (maneno ya vijiweni au mafunzo ya chuoni)
 
OMG !! Jamshid una miaka mingapi ?!!? nakuuliza hivyo kwa kuwa UPEO WAKO unaishi kibaha au mlandizi !!! Mdogo wangu naomba ufungue vitabu usome na ujizoeshe KUJIULIZA kipi kina faida na kipi kina hasara !!! (maneno ya vijiweni au mafunzo ya chuoni)


ww si ndo umesoma na una miaka mingi sio...nimekuuliza nitajie nchi ambayo imeendelea kwa kutegemea waindi...hukusema...poa basi nitajie nchi ambayo waindi wanaheshimika ukiachana ba india ambapo bado wanazarauliana wenyewe...na africa wanapobebwa na rangi....
 

Weka akili yako katika mazingira bila ya kiroba halafu fikiria bila ya hawa...kujitahidi kuchukua risks za kibiashara na wakaweza kuajiri bguguzo wengi hali ingekua vipi?
zaidi ya mengi sioni mtu serious anaye wezakujotolea kuchukua risks za kufungua viwanda na biashara kubwa
hawa wamei saidia sana nchi hii kuliko wewe baba ako na babu zako wakichanganywa kwa pamoja
nyumba za NHC ni za mababu zao zilitaifishwa hazija jengwa na ccm wala serikali

leo lifikirie jiji la Dar tu peke ya..Samora...,
azikiwe
mnazi mmoja
ohio
bibi titi
sokoine
kariakoo
masaki--
msasani
changombe viwandani
nyerere road viwandani
mbezi viwandani
kila kona haa jamaa wamechukua risks na ku invest ili wewe upate kazi na serikali ipate kodi

Maadam umeleta ubaguzi na mimi nakumalizia kwa ubaguzi ..wewe kama mwafrika mtanzania umefanya nini kuwasaidia wwenzako wapate kazi ? wewe au wengine wamefanya kiasi gani kusaidia wenzao wapate kazi au kodi ?
waafrika wengi wakipata watafungua bar au sehemu ya disco..wachache sana walosoma wenye mawazo kama ya wahindi ndio wanafanya kweli..hawa ni kina mengi ambao wenye wameajiri wahindi kibao..
kwa ufupi usichukulie makosa ya hapa na pale ukajamba ubaguzi...wahindi ni raia wa nchii hii wamefanya mengi mnooooo kuliko hata wafrika kwa ujimla wao..
wamekujengea Muhimbili hospital
walikujengea first jengo la bunge
majengo ya mwanzo mengi yalio kuwa na ofisi za serikali ni ya wahindi yalochukuliwa
wahindi ndio walokuja kujenga reli hii ya kati....walitoka kwao kama manamba na kuja kuijenga kutoka Dar mpaka Kigoma..wajerumani walikua na nyinyi hapa lakiki aliona mna kasoro akachukua manamba wa wakihindi
hata mchina alipo jenga tazara alileta wafungwa waki china kibao..na juzi uwanja wa Taifa..

wacha maneno ya kijiweni kama hujui mjii huu na nchii hii nani ameifikisha kimaendeleo angalau hapa ilipo...

sasa safiri uende Tanga
Mwanza
tabora
znz
arusha
moshi mjini
kila sehemu ya town hali ni hio hio ..wamefanya mengi..na uchache wao lakini walofanya ni zaidi ya wewe ulofanya na wenzako..WACHA UBAGUZI
Pengine tatizo ni uongozi wetu. Hadi ifike miaka 8 ya uongozi wa huyu Rais wa sasa sidhani kama utawafikiria wahindi kama unavyowafikiria sasa

SIDHANI KAKA..BADO SANA..HATA MIAKA 100 ..
 
Mpenzi wangu Jamshid naomba usilalamike na usilie lie sana nakutajia...usione ajabu tu:-

1.Tajiri wa kwanza duniani ni muhindi:- Mukesh na Anil Ambani
2. CEO wa kampuni kubwa USA ni muhindi:- Indra Krishnamurthy Nooyi
3.Nchi ambazo wanaheshimika kibiashara,nk :- CANADA ,USA,SOUTH AFRIKA,KENYA,UK,SINGAPORE nk nk
inatoshe ukiuguwa ukatibiwe INDIA (waTZ tushakufa wengi huko) kwao!!
 
Wanaoharibu nchi ni wenye nchi wenyewe wakiongozwa na viongozi wanaowachagua. Ni upuuzi kulalamikia wahindi ambao ni wachache mno.
Kuwadhibiti wahindi ni kazi rahisi sana, pambana na viongozi ambao ni vibaraka/mbwa wa wahindi!
Adui yako mkubwa siyo wageni, ni viongozi wanaokubali kuwa vibaraka wa wageni ama kwa makusudi au bila kujua!
 
duh tajiri wa kwanza duniani ni muhindi kumbe...i doubt that...
secondly canada and usa najua kuna wahindi ila sahau kuhusu heshima...kenya and s.A is part of africa nakukubalia coz hapa africa corruption is inaongoza...case of singapore sina info kuhusu huko...as far as i know muhindi nchi nyingi anazaraulika na unalijua hilo ila unajifanya unapotezea.....africa tuu ndo mmeweza kaa mda mrefu...ila one day yes tutawarudisha kwenu tuu...hakuna sehemu nchi imeendelea muhindi akaweza kaa....wamezoea uchafu
 
Kingine Sikatai kwamba wana akili ya biashara. Tatizo ni pale wanapotumia mianya mbalimbali kujineemesha na rasilimali zetu. Hiyo miaka nane unaiona michache lakini sio. Kama jamaa akikaza na kutocheka na kima kuna mabadiliko makubwa utayaona. Sio kwamba watatoweka bali anasa zao zitapungua kutokana na kuzibwa kwa mianya waliyokuwa wakiitumia, ikiwa ni pamoja na kumheshimu mswahili. Hapa natoa angalizo. na mswahili nae acheze part yake.
 
Ukweli usiopingika. Ukitaka kujifunza kazi kama wewe umebahatika kufanya kazi na muhindi ambaye ameenda shule utajua yafuatayo.
1. Time managment.
2.kuwa serious na kazi.
3. Budget.
Walioko kwenye makampuni ni mashahidi. Ila kwa muhindi hakunaga dili za kupiga.so kama salary yako ni 500k. Utakuta hiyo hiyo. Ukitega job unakuta pungufu. Hao ndio wahindi.

Haya mengine ya ubaguzi ni swala la ubinadamu tu
 
Zamiluni weye kweli Pumba.
Wahindi wanaongea Kiswahili wako Zanzibar Na Pemba unahisi hawa wenzetu.
Huku bara Kiswahili hawakitaki kuongea Na utamaduni wetu hawautaki.
Inamaana bila ya hawa Wahindi Tanzania itafilisika?
Mimi nadhani hujatembea au hauijui Tanzania.
Tembea BONGO ujionee wazao tunaishi bila ya ruzuku za hao miungu Watu wako.Hawa rushwa rushwa.
Ndugu zetu ambao si wazalendo waliwauzia WaHindi kila kitu
Sasa Mzee Ngosha kawatosa hivyo vibaraka vya Wahindi.Mashamba Na viwanda taifishwa.
Tuone kama tutakufa njaa.
 
Wewe ntakujibu kesho......sina wasaa!!
 
Sasa nduguzanguni niwajuze kingine msichokijua !!
Hawa wahindi wanaitikadi za kiutu ambao mataifa au makabila mengi hayajaali wala kujitolea!!
Hawa wahindi huamka alfajiri na baada ya kuswali huendaga Mahospitali (Ocean road cancer dept,Muhimbili, aghakan nk nk ) na hupeleka Swadaqa zao (pesa/zawadi)na kutembelea kuwajulia hali wagonjwa hiyo ni ada na mazoea yao... Na jioni hufanya hivyo ivyo na hao ndo walotujengea mashule,majengo na kumbi za starehe... michango yao Makanisani na Misikitini hatuweni kukana au kubisha !!
Sasa @mgongoone

jamshidamri
The Tomorrow People Poleni sana Hawana nia mbaya au uzembe wa kuharibu(sabotage) masilahi ya umma.. wapo serious ili watu wote waishi... Siyo kama waTZ wengine huhujumu mradi ilimradi apate masilahi yake binafsi !!! Poleni tena.. wakiwaiteni kwa dharau mufuate sharia na mchukue utaratibu husika!!!
 


tatizo hujielewi...na ombeeni nisije kuwa raisi au mtu mwenye power nchi hii nitaanza na nyie...kwenda kutembelea wagonjwa so what...?hela wanazoiba kila siku zinatosha kujifanya wasafi..waindi toka lini wakawa wasafi kuanzia sehemu wanazokaa mpaka tabia...?nenda huko bombey....unambie ni pasafi...dar ni chafu unajua kwa nn...?mmetufanya hata africans tulio dar tuwe wachafu kama nyie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…