Ubaguzi wa Wachaga huwa unafikia kiwango unawatafuna wao kwa wao.
Mmachame akija mjini anaelekea duka la Mmachame mwenzake.
Mmarangu akija mjini, anaelekea duka la Mmarangu wmenzake
Mkibosho hivyo hivyo, n.k.
Lakini Mrombo akikosa duka la Mrombo atahamia kwa jirani mmarangu. Hatakwenda kwa duka la Mpare hata siku moja. Akienda atalazimika kusimulia wenzake kwamba wamemponza!
Haya yote sasa kamji ka Moshi kamesinyaa! Hakuna maendeleo, hakuna ufanisi, wote wanatimukia Arusha. Huko mambo yatawaka tu! Ndo maana wanajidai kusema kanda ya kaskazini ili wajione wako pamoja na wapare na Arusha. No! Ni wabaguzi tu!