Moshi miaka yote haina idadi kubwa ya wahindi kama ilivyo kwa mikoa mingine hapa nchini. Nafikiri mtoa mada hujui historia ya moshi vizuri.
Chief Thomas Marealle ambaye alikuwa ni Paramount Chief wa Wachagga alipoulizwa huko UN kuhusu uhuru wa Tanganyika mwaka 1960 alisema ifuatavyo ; "Mkoloni atoe uhuru kwa Kilimanjaro na Arusha ndizo zilizokuwa tayari na sehemu zingine za Tanganyika zisubiri kwa miaka 50 ijayo".
Lakini kwa ujasiri wa Baba Wa Taifa haikuwezekana kutoa Uhuru kwa Arusha na Kilimanjaro, instead nchi yote ikapata uhuru mwaka 1961.
Kumsingi wachagga ni selfish, tribalist, discriminative na egoists
Mkuu, mbona unajidanganya hivi kuna sehemu yoyote hapa Tanzania wafanyabiashara wa kitanzania wanaweza kuwakimbiza Wahindi kibiashara?
Wahindi wapo kwenye biashara miaka mingi wamekusanya pesa nyingi wakati Watanzania bado wamelala.
Ukiona wameondoka kwenye biashara zetu za kimachinga sio kama wamekimbia wame-Fetch kwenye biashara kubwa za kimataifa.
Ebu jaribu kuangalia viwanda makampuni ya ujenzi mabenki, biashara za Apartment, makampuni ya usafirishaji yote yanamilikiwa na wahindi.
Wakuu tusijifariji na mikopo yetu ya 20 milioni kutoka BOA, AKIBA, CRDB, NBC.
Uchumi wa Tanzania umekamatwa na Wahindi.
Moshi miaka yote haina idadi kubwa ya wahindi kama ilivyo kwa mikoa mingine hapa nchini. Nafikiri mtoa mada hujui historia ya moshi vizuri.
Aisee kuna topic flan zinakuwaga zinakula kwa wach... huwa zisipendi , lakini anyway sababu kubwa ni huku kujioboast huwa kunwagharimu sana na watu wanaamua kupakaza mbaya.
Kumekucha Arumeru na sisi kama watanzania tunaotakia mema nchi hii tumeamua kujitoa kwenda kusaidia mapambano huko Arumeru, tumeingia Jiji la Moshi jana mchana na kwa mara ya kwanza nimepata nafasi ya kutembea mji wa moshi baada ya miaka mingi, huwa nakuja moshi kila mwaka lakini kila tukifika moshi tunakuwa hatuna muda wa kutembea na tunaendelea moja kwa moja hadi kijijini kwetu ambako huko hukaa hadi likizo ikiisha na huondoka kwenda stand ya mabasi na kuishia unakotakiwa kwenda.
Lakini kwa sasa nimepata nafasi ya kutembea jiji hili na kushangaa jinsi maduka makubwa niliyozoea kuyaona wakati nikiwa mdogo hayapo tena, nimeshangaa kuona zile nyumba walizokuwa wanaishi wahindi zimegeuzwa kuwa za biashara mbalimbali ambazo zinaendeshwa na watanzania wenzetu.
Tulipodadisi tumeambiwa wahindi wamekimbia baada ya kushindwa mashindano ya biashara, kwa kweli nimeshangaa sana kumwona mwafrica akimpiga bao muhindi, kazi inaendelea tutawaletea update za Arumeru kaeni mkao wa kula!
umenikumbusha chauro za kwa jani nilikua nikitoka shule Mawenzi primary nakatiza kichochoro naenda kununua chauro,Moshi kuna wahindi ambao unaweza kuwahesabu na kuwataja kwa majina, labda ungesema mhindi yupi kahama. Panjuani muuza redio na TV? Pandya muuza pariki?, Rajan na Boby wenye El Rancho?, Jani muuza chauro?, au kina Patel wenye Del Chez? Etc. Wahindi walioiweza Moshi bado wanakomaa labda useme wale wahindi koko ambao walikua wanauza juice za kupima kwa kikombe ndio washapotezwa.
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana
Hapa umenena, mimi ni wa kule lakini siwezi kufungua biashara pale.. Mji wa moshi kwa kweli hauna mvuto wa kibiashara kama ilivyokuwa zamani..ndio maana hata watu wengi wa moshi wanakimbilia Arusha na Dar..its also a very difficult place to workNakuunga mkono: mtoto akitumwa nyama buchani anaambiwa- nenda pale kwa chuwa akukatie kilo moja ya steki. Maandalizi ya krismasi: mimi nitashona suti yangu pale kwa arawa. Mtoto akitumwa mjni: nenda ushukie pale kwenye hoteli ya ndesamburo kisha ukanunue hizo spea pale kwa masawe. Asubuhi wakiamka: manka hebu kaniletee bakuri moja ya mtori pale kwa ma matallo. Etc.................. Hata hivyo , mji wa moshi siyo hot trading destination tena, kama wewe ni rational trader huwezi kwenda kufungua biashara Moshi kwani unapokea wageni wachache na umezungukwa na maenoe mengi ambayo huduma za biashara ni nzuri zaidi-taveta, arusha, namanga na hata nairobi. It is a dead city/town anyway.
jibu hoja acha kutoa kashfa.mchaga ni mbaguzi ndio mana moshi imedumaa maendeleo yanaenda arusha kwa watu wenye roho nzuri.mchaga si mtu
wachaga awana tofauti na wahaya ukiwa na biashara uko kwao ni full fitina mpaka uondoke ata bukoba makabila mengine ni nadra kuwakuta wanafanya biashara.
Aisee kuna topic flan zinakuwaga zinakula kwa wach... huwa zisipendi , lakini anyway sababu kubwa ni huku kujioboast huwa kunwagharimu sana na watu wanaamua kupakaza mbaya.
Mkuu umenikumbusha wahindi wote wa Moshi.Moshi kuna wahindi ambao unaweza kuwahesabu na kuwataja kwa majina, labda ungesema mhindi yupi kahama.
Panjuani muuza redio na TV? Pandya muuza pariki?, Rajan na Boby wenye El Rancho?, Jani muuza chauro?, au kina Patel wenye Del Chez? Etc.
Wahindi walioiweza Moshi bado wanakomaa labda useme wale wahindi koko ambao walikua wanauza juice za kupima kwa kikombe ndio washapotezwa.