Wahindi na kujichubua..

Mpaka leo sijawai kupata jibu kwa nini ngozi ya rangi nyeusi inachukiwa na watu namna hii mpaka kwa weusi wenyewe hawaitaki lakini vitu vya rangi nyeusi ndo vinaongoza kwa mauzo duniani
 
Watu hawataki kujikubali..ni kufuru kubwa Sana hii kwa MUNGU
 
Wahindi wanapenda uzungu sana...

Sema hilo tabaka wana nyodo asee..
 
Mpaka leo sijawai kupata jibu kwa nini ngozi ya rangi nyeusi inachukiwa na watu namna hii mpaka kwa weusi wenyewe hawaitaki lakini vitu vya rangi nyeusi ndo vinaongoza kwa mauzo duniani
Jibu ni Uhayawani ndio unaosumbua...
 
Baadhi ya Wabongo Sometimes hamnaga Akili.... Si kila Picha Inayong'aa Kuliko Nyingine Basi mtu Kajichubua..

Kuna Lighting....make up..na Condition za Room na Sehemu aliyopigia
 
samahani mkuu unatokea nchi gani tuanzie kwanza hapo
 
Kiboko ya dunia kwa mikorogo ni wakongo.
 
Baadhi ya Wabongo Sometimes hamnaga Akili.... Si kila Picha Inayong'aa Kuliko Nyingine Basi mtu Kajichubua..

Kuna Lighting....make up..na Condition za Room na Sehemu aliyopigia
wana cream yao maarufu ya kujichubua inaitwa fair&llovely. india ukiwa mweusimweusi kuolewa na kucheza movie inakuwa shida.
 
Yah I have a friend from India anasema kuna cream ukitumia unakuwa white inauzika sana India na ni bei juu sana...ila usikae juani sana ni balaa.... Wanawake Wa jimbo la Kashmir huwa ni weupe sana wanasoko zuri sana la kuolewa India na pia ni wachapakazi hodari ila wafupi wengi hahaha kama King'asti
 
Sikujua hawa Punjabi nao wanajichubua
 
Baadhi ya Wabongo Sometimes hamnaga Akili.... Si kila Picha Inayong'aa Kuliko Nyingine Basi mtu Kajichubua..

Kuna Lighting....make up..na Condition za Room na Sehemu aliyopigia
mkuu unajielewa sana ,
safi sana [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…