Wahenga wote tukutane hapa

19756420_2013803312181424_1493061998920107517_n.jpg
 
Hakuwah kuonekana na
Bint lakin alikufa kwa ngoma

Hakuwa kuihas din
Alikua mtu wa maadili lakin
Alikufa kwa ngoma

Alirudisha,walopotea na
Akawapa tiba mbadala
Lakin alikufa kwa ngoma

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
tupo tulio tumia sh5 tulikuws tunaziita madala cjui ndio nn maana ake

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Walioweka chumvi wakiumia njoon

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom