Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Habari jf-members
Bahari ingekuwa supu je, chapati ngapi zingezama? Hapo wahenga walimaanisha nini?
Bahari ingekuwa supu je, chapati ngapi zingezama? Hapo wahenga walimaanisha nini?
kweli kakaMambo yao waachie wenyewe, wewe ganga na haya matatizo ya samuya.
Naunga mkia hoja.Huu msemo si wa hahenga, bali wa CCM.
Huoni jinsi usivyokuwa na mantiki yoyote?
🔥🔥🔥Naunga mkia hoja.