Wahenga wa juzi tuu

Hapo uombe Mungu usiku usimwage kojo kitandani... Huruma yote inaisha.
 
Katalina ni catalyst inayoleta mzuka wa kuchezea mvua!!

Katalina ni aina fulani ya Huricane ambayo inaitwa Katrina, ni so destructive hurricane, so tulikuwa tunaomba mvua ije lakini hiyo Katrina isije kabisa,

Actually tulikuwa hatujui tunachokisema na hakuna anayejua huo msemo uliyokea wapi?

Hurricane Katrina - Wikipedia

mshana jr
 
Hapo ukitoka unapigwa khanga unakaa juani ukauke halafu unapakwa mafuta.. Zaman raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utoto raha sana! Lakini ndio hakuna reverse!
 
Catalina ilo kule kwetu lilimaanisha upepo ivyo wingu likiwa zito tu munaanza kuimba"mvua njoo catalina usije" yaan apo upepo ukija mvua itayeyuka apa kila mtoto lazima aimbe kwa nguvu ili Catalina asije!!!!!Duuuuuh zaman maisha yalikuwa matam sana na pesa wala ilikuwa haizingatiwi lakin kizaz cha sasa shida tupu ata mvua ikinyesha uwaoni kushangilia na kucheza mvuani.
 
Kama uko we na mdogo wako unachapwa wewe mdogo anapetiwa petiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…