Wahenga mpooooo

tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe

Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
HAHAAAAA ACHA MASIHARA BASIII YAANI WAMEITWA WAHENGA BILA HATA AIBU NAWEWE UMEJITOKEZA MANINA WALLAHI ...KHAAAAAA
 
Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni

Tulikuwa tunawaita chora baruaaa

Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu

Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn

Tulikuwa tunadanganyana kwae
hahaaa hao nawajua mkuu wanachora maji hatari daaahhh umenikumbusha mbali mnooo ..kuna wengine walikuwa wanapnda mnoo kukaa kwenye michongoma ..tulikuwa twawaita ng'ombe maana wanakama mapembe Hivi kichwani
 
Mi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata
Kheeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom