Wahehe noma wala mzungu

Wahehe noma wala mzungu

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
478
Wahehe katika kijiji kimoja mkoani iringa ambao hawajawahi kumuoana mzungu siku moja vijana wakihehe wakikatisha mitaani wakamuona mzungu wakapiga kelele wakisema nguruwe mzungu akesema No! wakazania kasema amenona walimpiga kwa mawe na mapanga na kumugawana faster kwajili ya mlo wa jioni walikula mpaka viatu vyake wakizania ni makanyagio kama ya ngombe cheka sasa
 
mimi muhehe unacho fanya wewe sio sawa.nitakupigaga.

Hahaha
 
Kweli umenivunja mbavu mkuu! Naona usingizi wangu utakuwa mnono!
 
Wahehe katika kijiji kimoja mkoani iringa ambao hawajawahi kumuoana mzungu siku moja vijana wakihehe wakikatisha mitaani wakamuona mzungu wakapiga kelele wakisema nguruwe mzungu akesema No! wakazania kasema amenona walimpiga kwa mawe na mapanga na kumugawana faster kwajili ya mlo wa jioni walikula mpaka viatu vyake wakizania ni makanyagio kama ya ngombe cheka sasa

Imekaa kiubaguzi wa rangi hivi...
Lakini kiukweli wale jamaa wanafanana na ma-nguruwe hivi!!!
 
Haichekeshi na ni udhalilishaji mkubwa wa ubinadamu
 
Dah sasa huku ukweni itakuwaje ngoja ninyamaze.~~~
 
Wahehe hawali Nguruwe wanasifa ya Kula Mbwa!

Hapo kwenye kula Viatu mie ndio Nimecheka oi..
 
Back
Top Bottom