Wahehe na Tohara

Teh teh
.... mi mmakonde! tunafanya hiyo kitu ukiwa na miaka kumi tu.
Hakuna Mmakonde yoyote ambaye hajaenda jando, labda kizazi hiki cha .com

Tena umakondeni usipo tahiriwa unaitwa "Mnemba" ni bonge la tusi hahahahaa hata vijana wa rika yako wanakutenga kisaikolojia unaweza hama mtaa kudadeki daah!!
 
Ila ukweli kabisa mm mwenywe nimetahili lakin naona bora ningebaki na govi langu coz sipati rahaa kabisa ya hilo tendo
 
Tena umakondeni usipo tahiriwa unaitwa "Mnemba" ni bonge la tusi hahahahaa hata vijana wa rika yako wanakutenga kisaikolojia unaweza hama mtaa kudadeki daah!!

ha ha ha ha..."mnemba"...umenikumbusha mbali aisee!!
hivi hii mambo si ilikuwepo kabla hata ya ukoloni?
 
ha ha ha ha..."mnemba"...umenikumbusha mbali aisee!!
hivi hii mambo si ilikuwepo kabla hata ya ukoloni?

bila shaka ilikuwepo,ila siku hizi kasi ya kuweka watoto jandoni inapungua imebaki tohara tu tena hospitali.ndo mana watoto wa siku hizi kma wakina GENTAMYCINE wanakua hawana adabu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anayedai wachagga hawatahiri ashakutana na operation ondoa kono LA sweta Kilimanjaro kama ilivyo Iringa na Mbeya??


Yaani kila kukicha na kila uzi lazima mchaga atajwe....mh!!
 

Aah wapi! Mkono wa Sweta sio dili!
 
Magovi na taa hawaendani kabisa muda wa kugegeda wao giza tu

wewe kweli ni mapovu,huwa unanifurahisha sana na status zako,hazijawahi kwenda tofauti na jina lako...buha ha ha haaa
 
bila shaka ilikuwepo,ila siku hizi kasi ya kuweka watoto jandoni inapungua imebaki tohara tu tena hospitali.ndo mana watoto wa siku hizi kma wakina GENTAMYCINE wanakua hawana adabu.

Ha ha ha ha.... inawezekana kabisa!! vijana wa .com hawa "haluki" tena.
 
Last edited by a moderator:
Makabila yaliyo kando yaziwa nayo hutahiri, utachekwa ukienda kuoga ziwani kama hujatahiriwa
 




Umesahau wahaya? Wahaya mpaka dakika hii naandika haya kwako bado wanaharibu lugha ya kiswahili kwa kujiita watu wazima (magovi, hawajatahiriwa).
 
Tatizo lenu mnadhani watu wa kando ya ziwa ni wasukuma pekee! Makabila yanayopenda kuishi kando ya ziwa na visiwani ni wazinza, wakala, wakerewe na wajita, wamsukuma si wengi hukaa visiwani au kando ya ziwa na msukuma akiishi kisiwani au kando ya ziwa lazima atatahiriwa la sivyo atachekwa sana akienda ziwani kuoga.
 
Khaa!! Ajabu sana kuna msichana wa kidachi aliniambia hafurahii akikutana na muhogo uliomenywa 😎
 
Rafiki yangu wa Mbeya aliwahi kunisimulia kuwa yeye alijiona yuko sawa tu (miaka ya 80) hadi alipofika sekondari na kuanza kuchekwa na wenzake (alisoma Mara). Likizo moja akaona no way, siwezi kudhalilika kiasi hiki. Zile wiki 2 hakwenda kwao akafanyiwa tohara akiwa kidato cha 2. Cha ajabu anasema likizo iliyofuata akiwa kwao Mbeya (wana kawaida kuoga mtoni) wenzake wa huko nao wakaanza kumcheka kuwa amekuwaje! Nilishangaa sana.
 

Hapo dodoma ni uongo wa mchana, hapo walikua wanatahiri hadi wanawake (Kukeketa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…