Wahehe na Tohara

Wahehe na Tohara

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,229
Reaction score
17,659
Nataka kufahamu tu! Wahehe hawana Utamaduni wa kuwatahiri watoto wao wakiume?

Nimeona wanaume watu wazima wakihamasishwa kufanyiwa tohara.
Si jambo baya ila ni vyema kuwatahiri wakiwa watoto.

Nilidhani ni wasukuma tu, wasiokuwa na utamaduni huu...
Ni makabila gani mengine hapa nchini wasiokuwa na mila na desturi hii?
 
Wamasai, wakurya, Wajita, wamakonde wana jadi hii...
 
sisi tunakata kwa kisu bila ganzi!...ndo kiliwashinda wabena na wahehe
 
Nataka kufahamu tu! Wahehe hawana Utamaduni wa kuwatahiri watoto wao wakiume?

Nimeona wanaume watu wazima wakihamasishwa kufanyiwa tohara.
Si jambo baya ila ni vyema kuwatahiri wakiwa watoto.

Nilidhani ni wasukuma tu, wasiokuwa na utamaduni huu...
Ni makabila gani mengine hapa nchini wasiokuwa na mila na desturi hii?
Mkuu, wahehe hawatahiri, mikoa mingi sana tanznaia hawatahiri kabisa. mkoa wa iringa, njombe, mbeya, rukwa/sumbawanga, kigoma, mwanza,tabora,dodoma,ruvuma, kagera yote, Kilimanjaro, hawatahiri kabisa. ukiona mtu ametahiri ujue amekulia mjini au amejipeleka mwenyewe akiwa mtu mzima. au labda awe amezaliwa familia ya kiislam ndio wanatahiri, ila dini zingine hawathubutu kabisa.

mikoa wanayotahiri ni kama tanga, lindi, dsm, pwani,mtwara,arusha,mara/wakurya, manyara etc, hao wengine wanafanya kimila ila wengine ni kwasababu ya dini ya kiislam hasa ukanda wa pwani. in general, itis possible kwamba asilimia 50% ya watz wanatoka makabila yasiyotahiriwa na hawajatahiriwa kabisa hadi leo. nashukuru Mungu nimetahiriwa kwasababu kutotahiriwa ni aibu kubwa nafikiri, pamoja na kwamba natoka kabila lisilotahiri, isipokuwa, kama ningekuwa sijatahiri hadi leo, nisingetahiriwa kwasababu naamini mtu asiyetahiriwa pengine anapata ladha bora zaidi kuliko mimi niliyetahiri, ndio maana wazungu wameanza kampeni ya kukataza watoto kutahiri baada ya study kuonyesha mtu asiyetahiriwa anaona utamu kuliko aliyetahiriwa.
 
Umeandika vyema! lakini hapo kwenye mikoa umeenda kombo kidogo.
Kilimanjaro wanatahiri toka zamani.
 
wachaga wa wapi wanatahiri mzee, labda warombo wanaotahiri hadi wanawake. wengine wanaotahiri ni wachagga wa wapi? kibosho, machame, wapi? najua kuna wachagga baadhi wanakeketa wanawake ndio maana wachagga wa aina fulani hata kupata mme huwa shughuli...makabila yanayokeketa wanawake wao wengi hawaolewi masikini...
 
Wachagga wote wanatahiri, japokuwa sio utamaduni wao!!
CC: Mr Rocky, Arushaone, Mentor, Kibo10, Mtoto halali na hela.
 
Last edited by a moderator:
Wachagga wote wanatahiri, japokuwa sio utamaduni wao!!
CC: Mr Rocky, Arushaone, Mentor, Kibo10, Mtoto halali na hela.
mkuu, kama sio utamaduni wao, basi hawatahiri. kwasababu kuna watu hawataki kutahiri lakini utamaduni unawalazimisha, hivyo ukiona hata ule utamaduni wa kutahiri sio wao, baso hakuna force ya kuwalazimisha watahiri, sio desturi sasa unafikiri wanatahiri kweli hao?
 
ha ha ha ha...nadhani mazoea ndiyo huzaa mila au desturi(utamaduni). Ukifikisha miaka 15 kijana uchagani hujatahiriwa huwa ni aibu sana.

Hii kitu ishazoeleka sana, na ni kawaida sasa kwa wachaga kuwatahiri vijana wao wakiwa bado na umri mdogo..
Hii huduma huwa inafanyika hospital au daktari anakuja kuifanyia nyumbani, tofauti kabisa na kule kwetu kusini.
 
Nataka kufahamu tu! Wahehe hawana Utamaduni wa kuwatahiri watoto wao wakiume?

Nimeona wanaume watu wazima wakihamasishwa kufanyiwa tohara.
Si jambo baya ila ni vyema kuwatahiri wakiwa watoto.

Nilidhani ni wasukuma tu, wasiokuwa na utamaduni huu...
Ni makabila gani mengine hapa nchini wasiokuwa na mila na desturi hii?

Makabila yaliyokuwa yanatahiri wanaume nchi hii kabla ya ujio wa mkoloni hayazidi mawili nayo yalitahiri tu wale waliokuwa na matatuzo ya ku-slidisha mkono wa sweta; zaidi yalikeketa wanawake tu sasa unaposema wasukuma sijui wahehe ndo hawatahiri vijana wao ni mzungu au mwarabu wa oman?
 
Back
Top Bottom