Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,706
- 665
Ndiyo lengo la mtoa hoja kwani mkoa ni masikini sawa lakini wazawa matajiri ni wengi na wamewekeza nje ya mkoa wao.1. Kwa takwimu za siku za Karibuni (Household Budget Survey 2010/2011).. Kagera is the economically 2nd poorest region in Tanzania only bitting Singida! Dar is the richest, followed by Mwanza, Arusha, Kilimanjaro!!
Watu wa Kagera acheni kutamba!!! Wekezeni Kagera kama watu wengine wanavyowekeza katika Mikoa yao!
2. Why? Kagera is fertile region, it has learned population (some who in fact stay in Oysterbay), it is bordering many countries (Uganda, Rwanda and Burundi), plenty of fish! n.k, n.k
Sasa mimi sijui kwa nini mkoa huu uanzidi kuwa nyuma wakati kuna raslimali zote hapo juu!
Natoa hoja