wahaya tuimbe pamoja...........

wahaya tuimbe pamoja...........

Kwanza kabisa natoa amri kuwa Mwali asije kabisaaa hapa! Kama Arushaone ndiyo mkataji tamaa hivo hafai kabisa. Yaani kabeep kwako Roulette, huyo anahamia kwa Mwali? Huyu mwanaume hafai... Lol

Majiharibia kote kote maana mi nisha muona he didn't meant what he was saying. you should read his post, eti anataka tuzae na watoto, niwe wake wa milele. kukataliwa tu, huyooooo! lol
 
Hahahaha, unaumwa wewe. haitawezekana kwa sababu tatu:
  1. nimesha fika maxximum number of children I want to have
  2. Hatujuani kiivoooo, zaidi ya JF, imekuaje mwenzangu ummenidondokea to that extent?
  3. I have a man in my life who makes me happy (oh, so happy 🙂 )
Ila naweza kukuelekeza kwa alter wangu AshaDii who is a perfect match maker. Another one is Mzee Mwanakijiji but sijui kama ana muda wa kuunganishana siku hizi 🙂

Hiyo namba 2 ndo yenyewe.Na yeye anataka kukuwowa ki Jf..Ila mind you huyo ni King mswati..
 
Last edited by a moderator:
Majiharibia kote kote maana mi nisha muona he didn't meant what he was saying. you should read his post, eti anataka tuzae na watoto, niwe wake wa milele. kukataliwa tu, huyooooo! lol

Bora uling'amua mapemaaa... Umeona hapo Zion Daughter kasema kumbe ni King Mwati... No wonder... Lol
 
Last edited by a moderator:
akanaaana..
Akanaana kaile koona!!
Kaiiile....
Kaile ni ke ogooolaaa...
Bagambeee....
 
Roulette afu naomba unitazame kwa jicho la huruma mimi mtoto wa mwanamke mwenzio roho yangu imekudondokea ww. Naomba kukuoa uwe mama watoto wangu.

CC: EMT BAK FP snowhite.

SIJAMALIZA, NITARUDI.
Watu mnavifua unaanzaje kutaka Rais wa Brasilia uogpi??yangu macho nasubiri kuona vumbi hapa! Madame B ukae mkao wakula unaweza kupigwa ban ya milele maana amri itakuwa ikitoka kwa Arushaone!! Roulette tunasubiri tamko au unasubiri msemaji wako hata kwenye maswala binafsi??
 
Last edited by a moderator:
figganigga .mia poa mie sina tatizo kwakua mimisa hajatulia ngoja nitoke na shemeji yangu.mia
huyo manoah hanibabaishi!. kwanza nilimuambia aje tucheze draft akaogopa, dat akaogopa. sasa nasema hivi kama taraka aitoe leo leo ili niwe huru na kifaa mimisa. manoa nakushauri utoe taraka hata kwa shingo upande huyo mkeo hajatulia!. muache utafute mwingine ili kutunza heshima yako au unamuogopa?. mia
 
Last edited by a moderator:
Watu mnavifua unaanzaje kutaka Rais wa Brasilia uogpi??yangu macho nasubiri kuona vumbi hapa! Madame B ukae mkao wakula unaweza kupigwa ban ya milele maana amri itakuwa ikitoka kwa Arushaone!! Roulette tunasubiri tamko au unasubiri msemaji wako hata kwenye maswala binafsi??
Nisha jibu mbona? swali nyepesi halitaki kupotezewa muda hili.
 
Nisha jibu mbona? swali nyepesi halitaki kupotezewa muda hili.
Sasa mwenziyo kamaanisha nayeye anaipenda JF umempiga beat taratibu ka stepdown mwonee huruma kwa kusikiliza kile alichosema ya wezekana anamaanisha!
 
Sasa mwenziyo kamaanisha nayeye anaipenda JF umempiga beat taratibu ka stepdown mwonee huruma kwa kusikiliza kile alichosema ya wezekana anamaanisha!

Nimemsikia, sasa unataka nimsikie vipi? I have a man in my life, nikae tu nasikiliza sound za mtandaoni kwa vile kijana anamaanisha? lol
 
Majiharibia kote kote maana mi nisha muona he didn't meant what he was saying. you should read his post, eti anataka tuzae na watoto, niwe wake wa milele. kukataliwa tu, huyooooo! lol

Roulette umefanya la maana kumpa direct kick Arushaone! Tena pasipo kumung'unya silabi!.
Ungemkubalia huyu kuna siku ingekuja tokea, ama kwa kiburi tu, au kwa ulevi wa madaraka, as mod's husband angekuibia sever akutulima ban kama hana akili vile!
Ukakuta Chtcht, Mmu kabakiza member mmoja'mmoja!
You look far maddame.
 
Hey, Mi sio Mod tena, sijui niwaambieje je jamani! At the same time huu ArushaOne nadhani asha wahi anzisha thread tena na utani wake huu. Utani haufai kabisa!
 
Back
Top Bottom