Mkuu, hapo umenena. Hii biashara siku hizi ni mabila yote. Tofauti ni namna, mahali na jinsi inavyofanyika. Wengine wanajifanya bei mbaya na wana mbinu tofauti lakini mwisho wa siku biashara ni ile ile ya kujiuza. Sema tu kwamba wahaya wana kawaida ya kujikusanya na kufanya biashara yao hiyo pamoja katika sehemu moja.
Mbona wengine siku hizi wanachukua Guest House nzima na watu wanapita hapo kumaliza haja zao. Tofauti inakuwa ni mcganganyiko wa makabila na labda sehemu zenye hadhi kiasi na hivyo bei inakuwa juu kuliko ya wahaya. Ni yale yale tu. Mchele wa Kyela ukila mgahawa mkubwa na kwa mama ntilie bado ni mchele ule ule.
Mbona wengine siku hizi wanachukua Guest House nzima na watu wanapita hapo kumaliza haja zao. Tofauti inakuwa ni mcganganyiko wa makabila na labda sehemu zenye hadhi kiasi na hivyo bei inakuwa juu kuliko ya wahaya. Ni yale yale tu. Mchele wa Kyela ukila mgahawa mkubwa na kwa mama ntilie bado ni mchele ule ule.
DAH MKUU UMENIKUMBUSHA MBALI 2008 NILIKUWA NAKULA HELA MOJA RESEARCH YA USAID KATIKA HILO KAZI MOJA WAPO NIKUPITIA HAWA WASHIKAJI NA SIKUAMINI PALE ....,KIJIWENI KWA MBELE KIDOGO KUNA KICHOCHOORO KULIA KINAINGIA NJIA YA KWENDA LION CLUB,,INFACT TULIMKODISHA MMOJA WAO KABISA AKAWA ANATUZUNGUSHA AISEE
KUNA KA LODGE KANAITWA ELIZABETH..TULIPOINGIA NDANI YULE DADA AKAULIZA MNATAKA KUONGEA NA VITOTO VIDOGO AMA MAPAPA YAANI MAJIMAMA..TUKAMWAMBIA WATOTO KWANZA ..WAMECHUKUA VYUMBA VITATU NA WANALIPA 25,000 KWA SIKU..KUINGIA CHUMBA KIMOJA WAKO KAMA 5 WAMEVAAA DYANABA TUPU HIZOHARUFU LOH
TUKAJARIBU KUWAEEKELEZA KILICHOTULETA WAKAKTIWA MSHIKO WAO TUKAENDA KWA MAPAPA
WAO WANA VYUMBA 2 NA WAMEKODISHA WANALIPA 20,000 KWA SIKU NA KILA CHUMBA WAKO 3 HAPO NDIPO NILIPOCHOKA ULIZA???
WIKI MBILI KABLA YA KUANZA RESEARCH NILIKUWA ARUSHA ..NIKAKUTANA NA DADA MMOJA SOKONI AMBAE ALIKUWA AMEPENDEZA KAJITUPIA HIJAB YA MAANA SITOKAA NIAMINI ...AKIWA ANANUNUA SAMAKI KWENYE DUKA LA DADANGU
ARUSHA NIKAMWAMBIA WAMEONGEZEE KILO MOJA AKAPEWA AKAOMBA NAMBA YANGU NIKAMWAMBIA NIPE YAKO AKANIPA
SIKUWAHI KUPIGA NAMKUTA KWENYE CHUMBA CHA GUEST YA ELIZABETH TENA NIKIITAJI MSAADA WAKE KWELI
TUJAZE MAFORM YA USAID TUKALALE..JAMANI JAMANI ...AKAANZA KUCHEKA WENZANGU WWAKASHANGAA NAMI NIKAJIFANYA SIELEWI KUMBE NAVUTA MEMORY NILIMWONA WAPI ,,TULIPOWAAGIZIA KINYWAJI NDIPO AKANIAMBIA ZA ARUSHA NIKWAMBIA MZIMA MNAENDELEAJE
HUYU ALITUHUZUNISHA SANA MAAANA ANASEMA AMEACHA MUME NA WATOTO WATATU ..KAZI HII ANA MIAKA 3 ANASOMESHA ANALISHA NA WAKO PALE PALE SAFE KABISA NA HATA KITUO CHA POLISI MKUU WA KITUO NA WENGINEO KWENYE DEFENDER PALE KIJITONYAMA WANAWATAMBUA ...MAANA TUKIWA CHUMBANI ROHO ILISHTUKA WANAWEZA KUTUITIA MWELA ...NA JAMAA ZANGU WA OFM PALE UNASHANGAA PICHA ZIMESAMBAA KWENYE IJUMAA KUMBE TULIKUWA KIKAZI
MWISHO WA SIKU USIACHE KUWAWEKA MAOMBINI POPOTE ULIPO