Wahaya kuweni serious kidogo

*_Mchaga_* hata apate kazi bank bado atasema yupo *kibaruani*.
Acha sasa *_mhaya_* apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa;
utaskia *i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company*

sijamtaja mtu.
 
hahahahahah, iwe mbwenu, yoooo! nakuona wee bwana mdogo infact una tani na siye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom