cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Unaumia ukiwa wapi nduguWewe una vinasaba vya wizi tu, tamaa na kujikweza.Hakuna uhusiano wa kushika hela nyingi kazini na mshahara unaolipwa.Jela inakunukia na ngumu kwako kutoboa kwa fikra hizo.Kwanza Muhasibu haingizi chochote kwenye kampuni, nikupokea tu hela hata pengine hata hujui zimepatikana vipi!, kuandaa payroll nayo kazi ngumu?Kazi zenyewe nyingi ni za kila mwisho wa mwezi?Acha ubishoo wewe na ongezeko la mshahara lina utaratibu wake na pia utendaji wako wa kazi.Siyo tai ndefu tu shingoni na mbwembwe eti mimi muhasibu wa kampuni
na mimi bodaboda wa wake za watu na mpaka rangi kucha za wadada nilipwe nini kizuri ili niache kuwatamani taman??.........na ndugu yangu Mpwayungu Village anayefundisha watoto wetu micharuko wenye figa matata huko shuleni na kutembea kwa kujibinua apewe nini vilee??Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!
Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.
Omba kuwa Muhasibu wa Green Guard ya CCM utoboe..Mo_ na Bakhersa hawawezi kukuelewa wewe.Unaumia ukiwa wapi ndugu
Kwa maisha yapi ya sasaTamaa tu kuzitafuta aahh.
Kwani kuzishika hizo si ndo kazi yako.
Angekuwa mwalimu wa fizikia ndiyo ungeafiki aongezwe mshahara?Acha kipwipwili.Wewe una vinasaba vya wizi tu, tamaa na kujikweza.Hakuna uhusiano wa kushika hela nyingi kazini na mshahara unaolipwa.Jela inakunukia na ngumu kwako kutoboa kwa fikra hizo.Kwanza Muhasibu haingizi chochote kwenye kampuni, nikupokea tu hela hata pengine hata hujui zimepatikana vipi!, kuandaa payroll nayo kazi ngumu?Kazi zenyewe nyingi ni za kila mwisho wa mwezi?Acha ubishoo wewe na ongezeko la mshahara lina utaratibu wake na pia utendaji wako wa kazi.Siyo tai ndefu tu shingoni na mbwembwe eti mimi muhasibu wa kampuni
Mpwayungu atalipwa debe la mtama,kisado cha viwavijeshi na shuka moja jeupe kutoka Milembe ajifunge lubega kujikinga na upepo wa Domdom.na mimi bodaboda wa wake za watu na mpaka rangi kucha za wadada nilipwe nini kizuri ili niache kuwatamani taman??.........na ndugu yangu Mpwayungu Village anayefundisha watoto wetu micharuko wenye figa matata huko shuleni na kutembea kwa kujibinua apewe nini vilee??
Hata vicoba hamna?Kwetu hakuna kanisa.. Hakuna msikiti🌙
Mara mia. Sasa muhasibu ana kazi gani ngumu?Angekuwa mwalimu wa fizikia ndiyo ungeafiki aongezwe mshahara?Acha kipwipwili.
Kushika helaaa na kuandaa sheet za mshaharaaa...!Mara mia. Sasa muhasibu ana kazi gani ngumu?
Wewe unafikiri kunusa harufu ya noti ni kishawishi kidogo?The real whiff of money tempts every creature!Mara mia. Sasa muhasibu ana kazi gani ngumu?
Akisha maliza..anaanza kupiga soga: Jamaa anataka akiandaa payroll ya MLN-400 nusu yake uwe ndiyo mshahara wake.Kushika helaaa na kuandaa sheet za mshaharaaa...!
Hivi hata ungekuwa wewe,usingekuwa na ndoto hizo?Tusidanganyane eti kuchapa kazi!We need some if not all the money available for the time being!Akisha maliza..anaanza kupiga soga: Jamaa anataka akiandaa payroll ya MLN-400 nusu yake uwe ndiyo mshahara wake.
Kizazi cha Kidigitali eti: Fikra zake ni kama hizo, kwamba kwa vile yeye ndiye mshika noti na mlipaji;basi mshahara wake unapaswa kuwa juu ya wafanyakazi wooote wa Kampuni.CCM wameharibu vijana sana.Wewe unafikiri kunusa harufu ya noti ni kishawishi kidogo?The real whiff of money tempts every creature!
Usiwasingizie Sisyemu!Binadamu wote ni wachoyo kiasili na tunahitaji kumiliki vyote vilivyo vizuri.Kizazi cha Kidigitali eti: Fikra zake ni kama hizo, kwamba kwa vile yeye ndiye mshika noti na mlipaji;basi mshahara wake unapaswa kuwa juu ya wafanyakazi wooote wa Kampuni.CCM wameharibu vijana sana.
Sipati picha mshahara wa Muhasibu mkuu wa Serikali sasa.Hivi hata ungekuwa wewe,usingekuwa na ndoto hizo?Tusidanganyane eti kuchapa kazi!We need some if not all the money available for the time being!