Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,154
- 162,570
Taarifa ya Nape ya kukanusha tuhuma za chama chake kutaka kumdhuru Dr.Slaa zimepuuzwa kwa kiasi kikubwa na magazeti mengi ya leo kwani wahariri wameipa kisogo habari hiyo kwa kutoichapisha katika kurasa za mbele za magazeti na mengine kutoandika chochote kabisa kuhusu habari hiyo yakiwemo magazeti ya chama na serikali.
Ukiacha habari kuhusu ajali ya Mbeya,habari nyingine iliyotawala ni kauli ya Zitto Kabwe kudai hana taarifa za kufukuzwa na kwamba anasubiri maamuzi ya spika.
Yaani kauli ya Zitto kwa waandishi yamfunika Nape wa chama tawala!
Kweli Nape na CCM yako watu wamewachoka!
Mwisho wa ubaya aibu!