Wahariri mnakera !!! Samahani kwa picha ?

Wahariri mnakera !!! Samahani kwa picha ?

Matango

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
535
Reaction score
118
Kuna tabia naona inazidi kujengeka katika baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni, wanaita Runinga. Na muda mfupi uliopita Chaneli Ten wametoa "kituko" kama hicho. Utasikia wanaanza kusema "Samahani kwa Picha tutakazoonesha hivi sasa".

Wahariri mnatukera baadhi ya Watazamaji. Kama mnajua kabisa picha ni mbaya na haziwezi kutazamika kwenye umma, kwanini knaamua kuziweka ? Na kuomba radhi kabla kunasaidia nini?

TCRA tusaidieni kwa jambo hili linazidi kuota mizizi. TV zinatazamwa na wengi sio katika faragha.

Hivi Tanzania Kuna waandishi au wachumia tumbo? Eti wqnajiita mhimili WA nne WA serikali my foot!!! Nimetokea kuwachukia sana sana Ndio wanaaoacha hatuendelei
 
Sioni tatizo kauli hii ikitumika,kwanza inaonesha uungwana(japo haiondoi uhalisia wa tukio)
Mathalan itakuwa jambo la ajabu kidogo mwandishi kuomba samahani kwa kuonesha picha za maharusi na matukio ya furaha lakini si kosa kuomba radhi pale atakapoonesha picha ambazo hana budi kuziweka wazi japo kwa wasaa kidogo na ambazo zitaguza hisia za mtazamani moja kwa moja (hata kwenye mitandao hadhari ipo)
 
Hakuna cha kua ppreciate hapo! Ulishaona wakionyesha picha za wazungu wenzao? Na si kila kitu tunatakiwa kuwaona wamagharibi kama our role model! We need to live our own life my fellow Tanzanians! Kama hujui, kwa taarifa yako tabia ya vyombo vya westerners kuonyesha picha za kutisha za mauaji, starving people nk. huwa ni deal kwa aid organizations kuseek sympathy from donors ili wapate more money! That is a business my friend na inafanywa juu ya hizi vulnerable countries ambazo kila leo zina shida ya vita, njaa nk. Soma kitabu cha The Crisis Caravan by Linda Polman utaelewa nachokuambia! We need to think outside the box dears!
kiša kušafanŧa šam

Kama sio picha za pilau poa tu! Mbona hata bbc walionesha picha za maiti za central africa harafu wakaomba radhi? Lets learn to appreciate ours!
 
Kuna tabia naona inazidi kujengeka katika baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni, wanaita Runinga. Na muda mfupi uliopita Chaneli Ten wametoa "kituko" kama hicho. Utasikia wanaanza kusema "Samahani kwa Picha tutakazoonesha hivi sasa".

Wahariri mnatukera baadhi ya Watazamaji. Kama mnajua kabisa picha ni mbaya na haziwezi kutazamika kwenye umma, kwanini knaamua kuziweka ? Na kuomba radhi kabla kunasaidia nini?

TCRA tusaidieni kwa jambo hili linazidi kuota mizizi. TV zinatazamwa na wengi sio katika faragha.

Sasa wewe ndiyo unaonekana kituko! Kuna mambo mengi yanayotakiwa kutolewa warning kabla ya kuonesha ili mtu ajue nini kinachofuata ili kama huwa anatatizika kwa namna moja au nyingine na picha za namna hiyo ajiandae na kinachokuja, kuna watu wana epilepsy, wengine wana kinyaa anaweza kutapika ovyo na kushindwa kula, wengine wana matatizo anaweza kuota mwezi mzima! Wewe hilo angalizo huwa linakuudhi vipi mkuu?
 
mkuu naona umeteleza kidogo hiyyo kauli iliyotumiwa leo na chanel ten ndio kauli muafaka kwa taaluma ya uandishi na hutumiwa duniani kote
 
Kuna tabia naona inazidi kujengeka katika baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni, wanaita Runinga. Na muda mfupi uliopita Chaneli Ten wametoa "kituko" kama hicho. Utasikia wanaanza kusema "Samahani kwa Picha tutakazoonesha hivi sasa".

Wahariri mnatukera baadhi ya Watazamaji. Kama mnajua kabisa picha ni mbaya na haziwezi kutazamika kwenye umma, kwanini knaamua kuziweka ? Na kuomba radhi kabla kunasaidia nini?

TCRA tusaidieni kwa jambo hili linazidi kuota mizizi. TV zinatazamwa na wengi sio katika faragha.

Mkuu unachanganya mambo, binadamu tuko tofauti huwezi kusema kwa vile wewe huwezi kuangalia picha ya maiti ya kichanga aliyetupwa mara baada ya kuzaliwa (kama walivyoonyesha ITV leo) basi wote hawawezi kuangalia. Ndiyo maana wahariri wanawatahadharisha mapema ili mtu kama wewe au kama upo na watoto ubadilishe chanel au uzime kwa muda. Kumbuka wakati wewe unakimbia maiti iliyocharangwa kuna mwenzio analazimika kuitunza motuary au kuiosha. Pia ninapoona naweza kumtambua kama ni ngugu, jirani au rafiki yangu
 
huyo anayesema mbona hivyo vyombo vya nje kama cnn,bbc na vingine havionyeshi picha za kutisha za wazungu.Wao hawafanyi mambo ya kinyama kama tunavyofanyiana waafrika.
 
Kuna tabia naona inazidi kujengeka katika baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni, wanaita Runinga. Na muda mfupi uliopita Chaneli Ten wametoa "kituko" kama hicho. Utasikia wanaanza kusema "Samahani kwa Picha tutakazoonesha hivi sasa".

Wahariri mnatukera baadhi ya Watazamaji. Kama mnajua kabisa picha ni mbaya na haziwezi kutazamika kwenye umma, kwanini knaamua kuziweka ? Na kuomba radhi kabla kunasaidia nini?

TCRA tusaidieni kwa jambo hili linazidi kuota mizizi. TV zinatazamwa na wengi sio katika faragha.

Kama hutaki kwa vile ushajua kinachotokea cku nyingine ukiona hivyo hama Channel.
 
We ushaombwa samahan bado waangalia sasa unataka nn?wacha kisebu sebu ww
Wapo sawa kabsa
 
Inatakiwa ujiweke katika viatu vya jamaa au ndugu za hao maiti wanaoonyeshwa! Jiulize ungalifurahi kuona ndugu yako maii yake inaonyeshwa hovyo? Ni staha tu inatakiwa. Kwani ukionyesha maiti amekatwakatwa ndio inaongeza uhalali wa habari? Ni suala la kujipima! Kuomba radhi halafu kuonyesha picha ya maiti aliyepigwa risasi si sahihi!
 
Siku hizi naona kuna tv channels wakionesha picha za maiti wanaweka kama vivuli, sijui aljazeera ile sina uhakika.

Hata ITV mda mrefu sijaona picha za maiti za kutisha, wakionesha mara nyingi wanakua washafunika shuka au kanga
 
we ushaambiwa samahani, lakini bado umetoa macho unataka kushuhudia ni picha mbaya kiasi gani!
Wewe ndio mwenye matatizo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom