SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,694
Kaka siwezi kusoma elimu ya mantiki au falsafa sababu kwangu mimi elimu hizo ni haramu.Kwahiyo uhojaji wangu ni misingi ya kielimu au ya kutafuta elimu yoyote iwayo ambayo kiidadi ipo kumi.
Kwahiyo kuniongelea mantiki au falsafa bado nakuona uko nyuma ya wakati.
Kadhalika sifa zenu nyinyi huwa hamna uwezo wa kujibu maswali zaidi ya kutoa tuhuma.
Kwa faida ni makosa kuandika "inshallah" usahihi ni "Inshaa Allah".
Kama mimi sio yule niliyezaliwa mimi ni nani ?
Hizi elimu mnazozisoma zinawafanya mzidi kuwa mazuzu na kutozitumia akili zenu vizuri.
Nina kawaida moja mtu anapoanza kujiona anajua zaidi kuliko wengine huwa najitenga naye kwakuwa najua nini kitafuataMambo mazito mnayaelezea kiwepesi bila hata ushahidi wa kielimu.
Umefanya maamuzi ya busara sana mzee.Limeisha hilo mzee.Nina kawaida moja mtu anapoanza kujiona anajua zaidi kuliko wengine huwa najitenga naye kwakuwa najua nini kitafuata
Watu wenye mtazamo na uelewa wa upande mmoja tu wa maisha huwa wana shida kubwa sana ya rigidism syndrome wanadhani wao ndio wako sahihi kuliko wengine! Watu wa jinsi yako ni vigumu sana kufanya nao mijadala kama hii kwahiyo kuepusha kupoteza muda nguvu na hata chaji ni kujitenga nao
Halafu hilo si jina.Kwani jina lina sifa anuai zake. Tamko hilo lina maana "Mola akipenda"....Asante sana kwa masahihisho.Nimejifunza jambo.Watu wengi wamekuwa wanaandika jina hilo kwa kukosea.
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Wenye vichwa vya panzi hawakumuelewa mkulu,mamlaka hutoka kwa mungu,iwapo mwenye mamlaka atagundua unaishu kidhurumati,na kuneemeka kupitia migongo ya wenzako,anakuporomosha tu
Hahaa haya mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119][emoji3] [emoji3] kwenye makabrasha yangu