Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,768
- 41,011
Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kadhaa sasa; tuliwaona wahamisha magoli wakitengeneza magoli yao mapema wiki iliyopita wakidai kuwa serikali sijui TRA wameamua kuficha mapato kwa sababu hayakuwa mazuri.
Magoli yao yaliandikwa kuwa ati TRA wameficha hesabu na wanaona aibu kutangaza mapato ya mwezi wa nne! Sasa leo mapato hayo yametangazwa kwa utaratibu ule ule na kuonesha kuwa mapato hayajashuka kama watengeneza magoli wetu walivyotaka...
Sasa wameanza kuhamisha - "oh nani anatangaza mapato!" ao "tunaweza vipi kuyaamini"...
Mwisho wa siku watang'oa magoi waondoke nayo uwanjani!