Waha wanaume wana helaaa ila hutopata hata mia yake

Waha wanaume wana helaaa ila hutopata hata mia yake

Bilioni moja nini?... faida au nini haswa?

Usikute unamaanisha mauzo, mauzo sio faida mkuu, unaweza ukauza bilioni moja halafu ukaishia na net profit ya milioni 50, ambayo kuna mtu kaajiriwa na ana salary mara mbili ya hiyo kwa mwaka
Kwahio wewe unafikiri mtu mwenye turnover ya 1b maisha yake atategemea faida ya mwisho hio 5%? Hadi anapata hio net profit kashajilipa millions. Niishie hapa nisiweke siri za kambi.
 
Hatimaye leo Wasukuma tumefikiwa jamani. Siyo kila siku tu kuchekwa ushamba. What a memorable day wuhuuu! [emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
Yaani mwanamke ukiona.unateseka sana na mapenzi unatafuta msukuma.wako unalipiza kisasi.hivi mioyo yenu ikoje mkuu mbona.mnajiachia saaana?
 
Bilioni moja nini?... faida au nini haswa?

Usikute unamaanisha mauzo, mauzo sio faida mkuu, unaweza ukauza bilioni moja halafu ukaishia na net profit ya milioni 50, ambayo kuna mtu kaajiriwa na ana salary mara mbili ya hiyo kwa mwaka
Kwahio wewe unafikiri mtu mwenye turnover ya 1b maisha yake atategemea faida ya mwisho hio 5%? Hadi anapata hio net profit kashajilipa millions. Niishie hapa nisiweke siri za kambi.
 
Kwahio wewe unafikiri mtu mwenye turnover ya 1b maisha yake atategemea faida ya mwisho hio 5%? Hadi anapata hio net profit kashajilipa millions. Niishie hapa nisiweke siri za kambi.
Mi naongea kwa numbers.... ukipata turnover ya bilioni 1 kwa mwaka na net profit margin ya 5% ... maana yake hiyo net profit ya 50 milioni.
 
Ila hata me bora msukuma kuliko muha😅😅
Msukuma anazuzuka na rangi,
Pesa zao ndio zimejenga zile nyumba za kariakoo toka kwa wanawake wa tanga,kimanyema waliokuwa wakiwachuna wakitoka kwenye Kazi ya ukuli bandarini kabla ya ujio wa crane bandarini,miaka ya 60,70
 
Kwahio wewe unafikiri mtu mwenye turnover ya 1b maisha yake atategemea faida ya mwisho hio 5%? Hadi anapata hio net profit kashajilipa millions. Niishie hapa nisiweke siri za kambi.
Na ndo maana wafanyabiashara wengi wa kitanzania wakikopa benki wana struggle kulipa... kwa mentality kama hizi kwamba.. kama nna mauzo ya bilioni 1 basi ninazo hela.. kitu ambacho hakipo hivo
 
Jamaa acha utani basi, mtu anaezungusha 1B huyo anajiweza sana.
Maduka mengi makubwa mijini humu unakuta mitaji yao haizidi 500M lakini kipato chao kinaridhisha.

Yaani mtu akunje 50M per month halafu useme namna gani kibongobongo!??
Dem gani atachomoa kwa mtu wa namna hiyo(dem mpenda pesa).

Na uzuri wa biashara huwa sio static leo utapata hiyo 50M mwezi ujao utapiga dili itaongezeka zaid hata mara 2 yake. Biashara ina ujanja mwingi kuliko haki.
Anajiweza vip... sisi tunaongea kwa numbers. Wewe unachotaka kuleta ni assumptions, kwamba eti akiwa na mauzo ya bilioni moja kwa mwaka basi ni tajiri.

Haipo hivo kwenye biashara
 
Back
Top Bottom