Waha wanaume wana helaaa ila hutopata hata mia yake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Kwa utafiti nilioufanya waha wanaibuka kwa biashara.
Miaka kumi ijayo .waha watakuwa wamewaacha mbali sana wakinga na wachaga utopolo
Waha jamani wana hela jamani .ila ni wabahiliii wabahili huli hata s mia yake. Ila ni washamba kiwango cha mwisho ila moyo wa mapenzi hawana hata kidogo.wataishia tu kuoa waha wenzao maana sidhani kama makabila mengine watawezana.kwanza jeurii; wabishiii.plus huo ubahili.
Ukitaka kupendwa na kudekezwa nenda kwa wasukuma au wagita huko.waha ni kuvamia mtumbwi wa vibwengo .hutopata chochote
Si mapenzi ,si hela wako selfish kiwango cha lami.
 
'Wana helaaa'.... hiyo ni ambiguous statement...

'Wana hela' ... pesa kiasi gani?

Halafu kwenye ulimwengu wa biashara, kinacho matter zaidi huwa ni 'Net profit margin', unaweza ukawa unauza bilioni kwa mwaka ila net profit margin ni 5% hapo maana yake wewe ni kama unatengeneza milioni tano kwa mwezi ambayo kuna mtu kaajiriwa anakunja mara mbili ya hiyo.

Sasa hivi ni vitu ambavyo kama hujaenda shule huwezi kuvielewa. Na watanzania wengi ambao hawajasoma watakuambia mtu mwenye mauzo ya bilioni moja ndo tajiri wakati ki uhalisia haipo hivo.

Ko yes, lazima awe bahili maana biashara nyingi wanafanya ni za uchuuzi ambazo net profit margin ni ndogo sana.

Kwamba watakuwa matajiri wa kubwa mbeleni, hiyo itategemea na return kwenye biashara. Lakini kama net profit margin ikiwa ndogo, wataendelea tu kuwa wapambanaji ila sio matajiri, watakuwa na kipato cha kawaida
 
'Wana hela'.... hiyo ni ambiguous statement...

'Wana hela' ... pesa kiasi gani?

Halafu kwenye ulimwengu wa biashara, kinacho matter zaidi huwa ni 'Net profit margin', unaweza ukawa unauza bilioni ila net profit margin ni 5% hapo maana yake wewe ni kama unatengeneza milioni tano kwa mwezi ambayo kuna mtu kaajiriwa anakunja mara mbili ya hiyo.

5% ya bilioni 1 ni 50M
 
Kazi ya Mwanamke kwenye Mahusiano siku hizi ni kusema “Asante Baby Nimepata “
Kwa utafiti nilioufanya waha wanaibuka kwa biashara.
Miaka kumi ijayo .waha watakuwa wamewaacha mbali sana wakinga na wachaga utopolo
Waha jamani wana hela jamani .ila ni wabahiliii wabahili huli hata s mia yake. Ila ni washamba kiwango cha mwisho ila moyo wa mapenzi hawana hata kidogo.wataishia tu kuoa waha wenzao maana sidhani kama makabila mengine watawezana.kwanza jeurii; wabishiii.plus huo ubahili.
Ukitaka kupendwa na kudekezwa nenda kwa wasukuma au wagita huko.waha ni kuvamia mtumbwi wa vibwengo .hutopata chochote
Si mapenzi ,si hela wako selfish kiwango cha lami.
 
Kwa utafiti nilioufanya waha wanaibuka kwa biashara.
Miaka kumi ijayo .waha watakuwa wamewaacha mbali sana wakinga na wachaga utopolo
Waha jamani wana hela jamani .ila ni wabahiliii wabahili huli hata s mia yake. Ila ni washamba kiwango cha mwisho ila moyo wa mapenzi hawana hata kidogo.wataishia tu kuoa waha wenzao maana sidhani kama makabila mengine watawezana.kwanza jeurii; wabishiii.plus huo ubahili.
Ukitaka kupendwa na kudekezwa nenda kwa wasukuma au wagita huko.waha ni kuvamia mtumbwi wa vibwengo .hutopata chochote
Si mapenzi ,si hela wako selfish kiwango cha lami.
Miss Natafuta umetafuta hadi kwa waha, sasa bado kabila gani?
 
'Wana helaaa'.... hiyo ni ambiguous statement...

'Wana hela' ... pesa kiasi gani?

Halafu kwenye ulimwengu wa biashara, kinacho matter zaidi huwa ni 'Net profit margin', unaweza ukawa unauza bilioni ila net profit margin ni 5% hapo maana yake wewe ni kama unatengeneza milioni tano kwa mwezi ambayo kuna mtu kaajiriwa anakunja mara mbili ya hiyo.

Sasa hivi ni vitu ambavyo kama hujaenda shule huwezi kuvielewa. Na watanzania wengi ambao hawajasoma watakuambia mtu mwenye mauzo ya bilioni moja ndo tajiri wakati ki uhalisia haipo hivo.

Ko yes, lazima awe bahili maana biashara nyingi wanafanya ni za uchuuzi ambazo net profit margin ni ndogo sana.

Kwamba watakuwa matajiri wa kubwa mbeleni, hiyo itategemea na return kwenye biashara. Lakini kama net profit margin ikiwa ndogo, wataendelea tu kuwa wapambanaji ila sio matajiri, watakuwa na kipato cha kawaida
Jamaa acha utani basi, mtu anaezungusha 1B huyo anajiweza sana.
Maduka mengi makubwa mijini humu unakuta mitaji yao haizidi 500M lakini kipato chao kinaridhisha.

Yaani mtu akunje 50M per month halafu useme namna gani kibongobongo!??
Dem gani atachomoa kwa mtu wa namna hiyo(dem mpenda pesa).

Na uzuri wa biashara huwa sio static leo utapata hiyo 50M mwezi ujao utapiga dili itaongezeka zaid hata mara 2 yake. Biashara ina ujanja mwingi kuliko haki.
 
Bilioni moja nini?... faida au nini haswa?

Usikute unamaanisha mauzo, mauzo sio faida mkuu, unaweza ukauza bilioni moja halafu ukaishia na net profit ya milioni 50, ambayo kuna mtu kaajiriwa na ana salary mara mbili ya hiyo kwa mwaka
Wewe hyo bilioni unayo ipi mkuu?
Mauzo au faida??
 
Back
Top Bottom