Wagosi wa kaya

Wagosi wa kaya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1414174399390.jpg
 
Du hivi hawa ndo akina nzeze ama kweli shida na ndo maana wamejaa kama utitiri hapa dar mishikaki majipoa sigara karanga vocha mkokotini juis mikate na boda boda na mabox ya mizego na magunia pale mtaa wa congo na pemba na hawa naona kama wapemba walivo tawanyeka kila sehemu wapo
 
Una utani mbaya wewe...! Unataka kusema mpaka wapaka rangi kuchani ni wao?
CC:Tanga line, #team lushoto
 
Baadhi yao hapo ndio mahandsome wa 1414195791331.jpgLeo hii wakiwa na avatar nzurinzuri zinazovutia mno na kuwachanganyi vidosho wa 1414195791331.jpg
 
Back
Top Bottom