Hakuna kifoNa vifo vimefika vingapi Rwanda tuone uwiano.
Hata hizo cases ni za uongo, na deaths ni za uongo pia. Waathirika na waliokufa ni wengi sanaaa. Hapa tunapigwa changa la macho tu
Si furahii kwa mataifa ya africa kuendelea kupata huu ugonjwa, ntaliombea bara langu la Africa, lakini kwa hawa mabeberu walio ifikisha hapa africa wana vuna walicho panda.Coronavirus cases, March 28:
- U.S.reached 120,000
- Italyreached 90,000
- Spainreached 70,000
More than 40% of worldwide cases.
Si furahii kwa mataifa ya africa kuendelea kupata huu ugonjwa, ntaliombea bara langu la Africa, lakini kwa hawa mabeberu walio ifikisha hapa africa wana vuna walicho panda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni furaha yao tu kusikia majanga yakitokea, yaani wanasuuzika nafsi zao.Wakitangaza watu wamekufa we utafaidika na nini!acha uzwazwa
Vipi wangapi nyumbani kwenu wamekufa ili tuone kama kweli wanatudanganya!Hata hizo cases ni za uongo, na deaths ni za uongo pia. Waathirika na waliokufa ni wengi sanaaa. Hapa tunapigwa changa la macho tu
Vipi wangapi nyumbani kwenu wamekufa ili tuone kama kweli wanatudanganya!
Wakitangaza watu wamekufa we utafaidika na nini!acha uzwazwa