Wagomea ubunge CCM wapima afya mbele ya Dr. Pombe Magufuli

Wagomea ubunge CCM wapima afya mbele ya Dr. Pombe Magufuli

Bila shaka "sera" zimekwisha.Wananchi wanahitaji majibu ya kero zao za maji,huduma mbovu za jamii,mgao wa umeme,barabara mbovu na za kiwango cha chini,ukosefu wa pembejeo,bei ndogo za mazao,ukosefu wa masoko na ahadi kedekede za JMK za 2005 na 2010.

Hapa kazitu hahaha
 
Kama mtu anaweza kupiga pushup na kusababisha mtu kupiga kura ni wazi civilization ipo chini na ni kwa sababu ya ufinyu wa elimu, Dunia nzima sijawahi ona nchi yenye upeo kiongozi akatumia pushup kama kigezo cha kuchaguliwa, ukweli ikiwa hii inaongeza kura baasi tz tupo zama za ujima

Mnajisahau kuwa mliwai eleza magufuli mgonjwa
 
Back
Top Bottom