chadema atasimama dr wa ukweli ccm huwezi juwa leo mpaka wapigane zengwe kwanza ndo apatikane wa kugombea saiz nimapema sana.Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)
kwa nn prof lipumba asiwachie wengine na wao wajaribu?????mbona ni yy kila uchaguzi mpaka chama kinakosa mvuto bhana
Kwanini mnalifanya suala la uraisi kama ni la mtu binafsi?? Watanzania tupo zaidi ya milioni 40.....hivi unataka kuniambia kuwa ni hao tu ndiyo wanafaaa kugombea??? Tunahitaji sura mpya sio watu walewale kila uchaguzi unapofika.....ttusiimilikishe nafasi ya kugombea uraisi....... mbona wapo wengi tuu... Lema, Nape, shibuda, Lusinde...nkSio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)
Bendera ya chadema itapeperushwa na MH SHIBUDA
Shehe yahya kafufufka ama umerithi kwake ama lowasa kakutuma?
hatutaki vijana tena hawachelewi kwenda jamaika kubembea, wanawafata wakina 50cent na bekamu kupiga nao picha ulaya, wanawaita wahuni wakaina WEMA na DIAMOND kwenda jumba takatifu ikulu,. Hatutaki tena rais asietambua anawake wangapi na watoto wangap,. Tutampa slaa kwa sababu ya umri wake, uwezo wake kupendwa kwake na elim yake
1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF.
sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa wagombea wa urais wa tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod peter slaa- chadema 2. Edward ngoyai lowassa-ccm 3. Prof. Ibrahim haruna lipumba-cuf. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Utaharibu uchaguzi Mkuu...Hawa wakipitishwa na vyama vyao, siendi kupiga kura. Wote ni majembe, yeyote anafaa kuwa rais!