VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ahsante Sheikh Yahaya Hussein juniorSio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

Mleta mada mnaweza mkamshangaa lakini alichotabiri kina asilimia kubwa sana kutokea, Dr Slaa hakuna wa kumzuia asigombee na ndio chaguo la wananchi walio wengi kwa sasa (hata baadhi ya maeneo ya nchi anapokewa kama raisi na wenyeji mfano Mbeya, Mwanza, Arusha), Lowasa bado ana mtandao tihifu kwake na wenye nguvu za kimahamuzi na pesa (wafanyabiashara) ndani ya ccm, Prof Lipumba kule CUF bado kuna usultani, ufalme, uchifu, hakuna mtu wa kumpinga.
Asante Mkuu, ili kuondoa makundi ndani ya chama hicho itabidi iwe hivyo, nasikia kaanza kuutaka uwenyekiti mapeema ili kujiweka pazuri kwa ajili ya mchakamchaka wa kuwania urais.Bendera ya chadema itapeperushwa na MH SHIBUDA
ama hujui kutabiri ama umeanzisha baraza ukiwa huna hoja.Unafananan na mwanafuinzi aliyepata jibu la swali la hesabu kwa wizi nna sasa hana njia ya kufikia jibu.Slaa, Lowassa, Lipumba=?
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)kwa nn prof lipumba asiwachie wengine na wao wajaribu?????mbona ni yy kila uchaguzi mpaka chama kinakosa mvuto bhana