The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Habari,
Nimekuwa natumiwa meseji na mgombea ubunge Fredrik Mwakalebela mgombea wa CCM za kumtaka nimpe kura yangu, hii meseji huwezi kuijibu naomba kuuliza namba yangu ya Simu amewapa nani na mimi sijawahi kutoa namba kwa mgombea yoyote yule. Naimani sio mimi tu niliyotumiwa hizi meseji.
Huku ni kuingilia mawasiliano ya mtu binafsi.