Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
We build values, beliefs and attitudes from the communities we live in.
Kama unavyojua dini ilivyo-sensitive sababu ndo belief ya mtu ya mwisho hapa duniani, hata hizo mila ni miongoni mwa value and beliefs.
Sio kitu kichapotea kiurahisi, na sio kitu kinachodharauliwa kirahisi. Its a value, ni kitu ambacho kiko dearly into someones brain.
Sie tunawaona wajinga lakini to them its something big.
Mfano, sasa hivi nikuambie ukane dini yako hapo ulipo, si utaniona chizi?
Chunguza kwa nini wewe ni dini hiyo? Wengi wetu tumerithi toka kwa wazazi, na tunaamaaini aadearly, na wakati ule akili ya kibinadamu imefikia ukomo, our last resolution ni dini.
So siwezi wasema chochote wanaogombea kitovu ila naona ni haki ya mama maana mama mkwe alishatumia cha kijana wake
Na tabia