Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Ikiwa hivyo hua president ana join side yenye anataka (mara nyingi yenye wabunge wengi na interest sawa) na kutengeneza serikali ya makubaliano na kuteua baadhi ya viongozi wa juu wa serikali kutoka kwa hicho chama so anaendelea kama kawaida.Chukulia Rais kashinda mgombea binafsi afu vyama vimeshinda wabunge,huyo mtu anaongozaje Nchi? Ajenda zake zitapitaje?
Harafu huu ni ujinga,mgombea binafsi atasukuma vipi ajenda zake binafsi?
Sio kila kitu ni cha kuiga.
Wabunge wengi na interest sawa ndio nini? Ya Chisekedi wa DRC uliyaona?Ikiwa hivyo hua president ana join side yenye anataka (mala nyingi yenye wabunge wengi na interest sawa) na kutengeneza serikali ya makubaliano na kuteua baadhi ya viongozi wa juu wa serikali kutoka kwa hicho chama so anaendelea kama kawaida.
Hakuna utalii kukuzwa na filamu bila shirika imara la ndege. ATCL ni kama iko ICU, KQ imechukuwa SAA.Ila for now sisi watz tuko bize kuwapiku Kenya kiuchumi kupitia Mama Samia Royal Tour, Mt Kilimanjaro na Wildebeests viko Tanzania si Kenya, umeme mpya toka Nyerere Dam, Bomba la mafuta to Uganda na SGR yetu kuchukua masoko ya nchi za maziwa makuu!!
Mtihani!Chukulia Rais kashinda mgombea binafsi afu vyama vimeshinda wabunge,huyo mtu anaongozaje Nchi? Ajenda zake zitapitaje?
Harafu huu ni ujinga,mgombea binafsi atasukuma vipi ajenda zake binafsi?
Sio kila kitu ni cha kuiga.
Let democracy prevail, RAIS atajua la kufanya akishindwa uchauzi unatishwa tena, ndiyo demokrasiaChukulia Rais kashinda mgombea binafsi afu vyama vimeshinda wabunge,huyo mtu anaongozaje Nchi? Ajenda zake zitapitaje?
Harafu huu ni ujinga,mgombea binafsi atasukuma vipi ajenda zake binafsi?
Sio kila kitu ni cha kuiga.
Nchi haifanyiwi majaribioLet democracy prevail, RAIS atajua la kufanya akishindwa uchauzi unatishwa tena, ndiyo demokrasia
Kuna hatari ya kupata viongozi wabovu (kwenye msafara wa mamba wengi kenge hujipenyeza)Sipati picha karatasi za kupigia kura zitakuwa ni kitabu chenye kurasa. mtu atapata tabu Sana kutafuta jina la mgombea wake.
Itabidi wa-digitalize system nzima lakini itailetea IEBC malalamiko mengi sana.Sipati picha karatasi za kupigia kura zitakuwa ni kitabu chenye kurasa. mtu atapata tabu Sana kutafuta jina la mgombea wake.
why? as long as life is preserved, sioni tatizoNchi haifanyiwi majaribio
Naona unaifuatilia siasa za Kenya kwa ukaribu sana.Kuna hatari ya kupata viongozi wabovu (kwenye msafara wa mamba wengi kenge hujipenyeza)
Watu wanaoishi na ulemavu hasa wa macho uchaguzi huu utawa-stigmatize kwa utaratibu huu wa mgombea binafsi.
Ila kwa ukomavu na activeness ya demokrasia hii Kenya inaelekea pazuri na itakuwa Mwl wa demokrasia Afrika kwa kuwa watakuwa wametangulia kuonyesha njia.
Ninachoona ni kwamba system waliyoijenga itafika sehemu ita-crash alafu watatafuta ergonomic ya kuondoka kwenye mkwamo huo na hiyo ergonomic itakuwa role-model ya Afrika.
Si unaona walivyofanikiwa kwenye mfumo mpya wa county (ugatuzi) ambao zamani haukuwepo, sasa kuna even-development (maendeleo sawia nchini)
Aidha, wame-overhaul education system yao toka 7-4-2-3 kama ya Tz kwenda 8-4-4 na sasa kwenda CBC 2-3-3-3-3-3.
Hahaha. Naona unaiogopa Kenya likija kwenye swala la uchumi.tuendelee kuwasifia wakenya wasiufute huyo mpango wao ili wawe bize na siasa sie uchumi
FDI ya Kenya ndiyo inayoongoza Tz ikifuatiwa na South Africa. Hata EAC Kenya ndiyo muwekezaji mkubwa, South Sudan ni 100% kwa sababu mataifa mengine yanaogopa vita pale lakini Kenya kajitoa muhanga na sasa amekamata South Sudan yote.tuendelee kuwasifia wakenya wasiufute huyo mpango wao ili wawe bize na siasa sie uchumi
Ngoja waje ATCL watujuzeFDI ya Kenya ndiyo inayoongoza Tz ikifuatiwa na South Africa. Hata EAC Kenya ndiyo muwekezaji mkubwa, South Sudan ni 100% kwa sababu mataifa mengine yanaogopa vita pale lakini Kenya kajitoa muhanga na sasa amekamata South Sudan yote.
KQ ina safari duniani 41 na imenunua SAA ambayo in a safari duniani 38, jumla KQ ina safari duniani 79, ATCL inazo ngapi?