Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Kuna habari toka mtwara wilaya ya masasi kuwa wagombea wa ccm kupitia serikali ya mitaa wameamua kujiondoa kuhofia hali ya usalama wa maisha yao..... Na hii imeonekana huko hali ya usalamaa si nzuli.....kuna hati hati ya vurugu kuzuka...tena
Kwa mliopo mtwara hebu tupeni informations hukoo......
Kwa mliopo mtwara hebu tupeni informations hukoo......