Wagombea 45 ccm wajitoa uchaguzi serikali masasi kuhofia usalama wao

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,199
3,592
Kuna habari toka mtwara wilaya ya masasi kuwa wagombea wa ccm kupitia serikali ya mitaa wameamua kujiondoa kuhofia hali ya usalama wa maisha yao..... Na hii imeonekana huko hali ya usalamaa si nzuli.....kuna hati hati ya vurugu kuzuka...tena

Kwa mliopo mtwara hebu tupeni informations hukoo......
 
Badili heading unatuzengua kumbe huna uhakika na habari unayoileta ama ww ni gamba unapima upepo wa south
 
Back
Top Bottom