Hii fursa ingekuwa jirani ningeitumia, mtaani wangenikoma maana na mimi nitakuwa nimepanda ndege kwa mara ya kwanza,ila haikupaa kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.
Kwa sisi tuliozoea mitungi angani hamna shida hiyo,maana nikikumbuka sijawahi kuchekiwa hata siku moja zaidi ya kupewa onyo tu kuwa safari nyingine ukija umelewa kama hivi hatukuruhusu.....